snap
Member
- Jan 4, 2016
- 63
- 60
Embu toa mifano pengine nitakuelewaHawachafui mazingira makusudi, ni consumption yao ndio inafanya yachafuke
Embu toa mifano pengine nitakuelewaHawachafui mazingira makusudi, ni consumption yao ndio inafanya yachafuke
I see, maeneo yangu hayo, Matai, Katete.Na inaendelea kweli.
Daah, nilitembelea matai, kateka, motochini, kizombwe, kisungamile, msanzi, mambwe, kaseshya na vingine kadhaa aisee hali ni mbaya boss.
Ukiwa na wengi, chansi ya kuwapoteza wote ni ndogo kuliko kuwa na mmoja; watu wa hesabu mtanisaidia.Aliyezaa 10 na akazika wote unasemaje?
Nilikaa kama mwezi mzima huko kiongozi.I see, maeneo yangu hayo, Matai, Katete.
Well saidKwa Tanzania tukifanya hivi victim watakuwa watoto, wataugua hakuna wa kuwapeleka hospital na hawatapelekwa shule sababu wengi practically ni kama wametelekezwa, baba na mama wanaondoka asubuhi wanaenda kulewa wasijue hata watoto wanaishije na wanashindaje. Bora Elimu na afya vikiwa cheap hata jirani anaweza amua kumsaidia mtoto aliyetelekezwa.
Mi naona tubadili sheria za utunzaji na uwajibikaji kwa watoto, tuhakikishe wazazi wanakuwa responsible na kila wanayemleta duniani, hata kama wazazi hamuishi pamoja, Nchi zilizoendelea wameweza kwenye hili.
Kama serikali yetu ingekuwa na viongozi bora sensa ya mwakani ingeleta mabadiliko makubwa sana.
Hivi kwanini huwa mnasemaga hivi yani mtu uzae wengi ili hata ukipoteza wawili ubaki na mmojaUkiwa na wengi, chansi ya kuwapoteza wote ni ndogo kuliko kuwa na mmoja; watu wa hesabu mtanisaidia.
Kwamba wazibue mitaro Daaaah we jamaaaaa....Watu wanazani kuzaa sana ni sifa.
Wazungu wenyewe wajanja, walishaliona hili mapema. Ndo maana hata kama mzungu ni tajiri kiasi gani, mwisho ni watoto wawili akizidisha sana watatu.
Kama vp watu watumie njia za waarabu.
Nashangaa mnashangaa watoto kuzaliwa wakati nyie pia mlipitia hatua hizo hizo za ukuajiHuu ni ukweli kwa 100%, nilienda kalambo(wilaya mojawapo ya mkoa wa rukwa), aiseee kila ukikutana na msichana mwenye umri kuanzia 20+ ni ana mimba au mtoto mdogo.
Usipozaa haya mapori yanayozidi idadi ya watu yatakaliwa na nani?
Tanzania hatuna overpopulation, eneo ni kubwa sana lisilokaliwa na watu kuliko kwenye watu hatujawafikia hata wachina
Watu wanakufa ili wengine wazaliwe
-- for your avatar picture!.
Unaweza kuzaa hata watoto 200 kama simbilisi.Tadhali sana sema kwa nafasi yako upunguze kuzaliana,binafsi yangu naombea sana nipate japo watoto 12
Kuna watu nawaona humu akili zinapotea na hawana cha kuzungumuza, huwezi kumpangia mtu asizae kisa ni masikini ili hari unapanua domo lako ukiwa Duniani, je ungekuwa kiunoni kwa baba yako ungeijua hata hii JF.
๐จ๐๐ต๐ฎ๐๐ฟ๐ถ ๐๐ฎ๐ป๐ด๐ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐ ๐ท๐ถ๐๐ฎ๐ต๐ถ๐ฑ๐ถ๐ป๐ถ ๐ธ๐๐น๐ฎ ๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ฎ๐ป๐ด๐ฎ, ๐๐ฎ๐บ๐ฎ๐ธ๐ถ ๐ป๐ฎ ๐๐๐ฎ๐ธ๐๐น๐ฎ ๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ป๐ฒ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐๐ผ๐ผ๐ป๐ด๐ฒ๐๐ฎ ๐๐๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ถ๐ธ๐ถ๐ฟ๐ถ,
Siamini kama Dunia haitoshi, maana Kuna mapori yamejazana hayakaliwi na watu...
Mhhhh!! Hii sio yakusema,sehemu fulani nimeishuhudia mwenyewe!! Mwenye watoto 4 akimshambulia mwenye mtoto 1 kuwa ajitahd aongeze watoto!! Mwenzie alimjibu bado sijajaliwa namuomba Mungu!! Ikapita kama miaka 4, tukasahau siku wanaenda kwenye shughuli za kifamilia wakapata ajali watoto wote wajafariki na mama yao!! Akabaki hana mtoto hata 1!! Haya mambo ni kuomba Mungu tuuu!! Ndio ajuae na si kwa ujanja wetu!! Yule mwenye mtoto 1 bado yupo!! Uhai wa mtu umo mikononi mwa Mungu.Kuna mzee mmoja alizaa mtoto mmoja tu, na akajitahidi kumpatie elimu ya uhakika huko ng'ambo; mtoto alipomaliza elimu yake ya juu-PhD akarudi nyumbani, baada ya muda fulani kupita mtoto akaugua na hatimaye Mungu akampenda zaidi; hapo mzee alichanganyikiwa, hajui afanye nini. Kwa ujumbe huo,ukiamua kuzaa au kutokuzaa kabisa jiandae kwa lolote ukiwa mzee.
Umeeleweka mkuu, nimeacha ushamba.Nashangaa mnashangaa watoto kuzaliwa wakati nyie pia mlipitia hatua hizo hizo za ukuaji
Acheni ushamba uhai wa mtu mwingine unakuhusu Nini
Nyie ndio mkipewa udaktari ndio mtaongoza kwa kutoa mimba za watoto wetu huko mitaani
Pambana na hali yako, ata Kama wakizaliwa mabilioni maisha yataendelea Kama kawaida, wamepita wengi toka enzi na enzi mnashangaa watu vimilioni 60 tu wakati wachina Wana watu mabilioni na wanaongoza kwa uchumi duniani
Kwa ili nifikiri kama karanga, au niwe na akili kama za samaki, we hujui kuwa unakuwa vile unavyokula!!!
Boya