Hebu Tia neno kwenye hii picha

sayoo

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
5,267
7,855
.
IMG-20190709-WA0003.jpeg
 
Sasa, hapo kuna kitu kinaitwa inbreeding depression, watafute mbegu mpya ya kurevitalise gene pool yao, iko too saturated, ukiwaangalia hao wote utasema ni watoto wa baba na mama mmoja, a high risk for genetically inherited diseases.
 
In breading kivipi? Au ulitaka Ange atafute jamaa kama Pierre.
Ni 'inbreeding' na sio 'inbreading'. Genetic diversity si urefu/ufupi tu, genetic traits ambazo zinaweza kuwa buffed up ni nyingu mno. Sasa tatizo la inbreeding ni kwamba magonjwa ya kurithi kama albinism au sickle celld anaemia yanakuwa yanajiyokeza zaidi kutokana na uwezekano mkubwa wa kupatikana homogenous chromosomes, yaani baba anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haijimanifest kwa sababu ni heterogenous, na mama nae anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haumwi kwa sababu ni heterogenous, sasa hawa wawili wakizaa mtoto kuna kuwa na 25% chance wakazaa mtoto mwenye seli mundu homogenous na hivyo ataumwa, tofauti na kama wange-diversify gene pool na kuoa mbal zaidi. Ni biology ya fm4 nadhani hii.
 
Niliiona na nilisha ibadilisha.

Nafahamu kuhusu genetics, wewe hujaeleza umetumia kigezo gani kwa kuangalia picha na kuona kuna hatari ya wao kuwa inbred.
 
Ni 'inbreeding' na sio 'inbreading'. Genetic diversity si urefu/ufupi tu, genetic traits ambazo zinaweza kuwa buffed up ni nyingu mno. Sasa tatizo la inbreeding ni kwamba magonjwa ya kurithi kama albinism au sickle celld anaemia yanakuwa yanajiyokeza zaidi kutokana na uwezekano mkubwa wa kupatikana homogenous chromosomes, yaani baba anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haijimanifest kwa sababu ni heterogenous, na mama nae anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haumwi kwa sababu ni heterogenous, sasa hawa wawili wakizaa mtoto kuna kuwa na 25% chance wakazaa mtoto mwenye seli mundu homogenous na hivyo ataumwa, tofauti na kama wange-diversify gene pool na kuoa mbal zaidi. Ni biology ya fm4 nadhani hii.
Lakini sidhani Kama hawa ni familia moja mkuu
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom