Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
In breeding kivipi? Au ulitaka Ange atafute jamaa kama Pierre?Sasa, hapo kuna kitu kinaitwa inbreeding depression, watafute mbegu mpya ya kurevitalise gene pool yao, iko too saturated, ukiwaangalia hao wote utasema ni watoto wa baba na mama mmoja, a high risk for genetically inherited diseases.
Ni 'inbreeding' na sio 'inbreading'. Genetic diversity si urefu/ufupi tu, genetic traits ambazo zinaweza kuwa buffed up ni nyingu mno. Sasa tatizo la inbreeding ni kwamba magonjwa ya kurithi kama albinism au sickle celld anaemia yanakuwa yanajiyokeza zaidi kutokana na uwezekano mkubwa wa kupatikana homogenous chromosomes, yaani baba anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haijimanifest kwa sababu ni heterogenous, na mama nae anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haumwi kwa sababu ni heterogenous, sasa hawa wawili wakizaa mtoto kuna kuwa na 25% chance wakazaa mtoto mwenye seli mundu homogenous na hivyo ataumwa, tofauti na kama wange-diversify gene pool na kuoa mbal zaidi. Ni biology ya fm4 nadhani hii.In breading kivipi? Au ulitaka Ange atafute jamaa kama Pierre.
Niliiona na nilisha ibadilisha.Ni 'inbreeding' na sio 'inbreading'. Genetic diversity si urefu/ufupi tu, genetic traits ambazo zinaweza kuwa buffed up ni nyingu mno. Sasa tatizo la inbreeding ni kwamba magonjwa ya kurithi kama albinism au sickle celld anaemia yanakuwa yanajiyokeza zaidi kutokana na uwezekano mkubwa wa kupatikana homogenous chromosomes, yaani baba anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haijimanifest kwa sababu ni heterogenous, na mama nae anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haumwi kwa sababu ni heterogenous, sasa hawa wawili wakizaa mtoto kuna kuwa na 25% chance wakazaa mtoto mwenye seli mundu homogenous na hivyo ataumwa, tofauti na kama wange-diversify gene pool na kuoa mbal zaidi. Ni biology ya fm4 nadhani hii.
Ulienda Rwanda kufuata mgegeduoo eeh
Lakini sidhani Kama hawa ni familia moja mkuuNi 'inbreeding' na sio 'inbreading'. Genetic diversity si urefu/ufupi tu, genetic traits ambazo zinaweza kuwa buffed up ni nyingu mno. Sasa tatizo la inbreeding ni kwamba magonjwa ya kurithi kama albinism au sickle celld anaemia yanakuwa yanajiyokeza zaidi kutokana na uwezekano mkubwa wa kupatikana homogenous chromosomes, yaani baba anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haijimanifest kwa sababu ni heterogenous, na mama nae anaweza akawa na vinasaba vya sickle celled anaemia lakini haumwi kwa sababu ni heterogenous, sasa hawa wawili wakizaa mtoto kuna kuwa na 25% chance wakazaa mtoto mwenye seli mundu homogenous na hivyo ataumwa, tofauti na kama wange-diversify gene pool na kuoa mbal zaidi. Ni biology ya fm4 nadhani hii.
Hiv wew umeolewa?Juzi nilipanda bus la kutoka Rwanda..jaman hawa watu ni watraaamuuuu!huyo wa kwanza kushoto nimemwelewa sana...mwanaume mwenye tege huwa ni added advantage!...sasa huyo akukumbatie
Juzi nilipanda bus la kutoka Rwanda..jaman hawa watu ni watraaamuuuu!huyo wa kwanza kushoto nimemwelewa sana...mwanaume mwenye tege huwa ni added advantage!...sasa huyo akukumbatie
Yameoana yenyewe kwa yenyewe. Yani hizi Jamii za cushites na semitics
Dah!Juzi nilipanda bus la kutoka Rwanda..jaman hawa watu ni watraaamuuuu!huyo wa kwanza kushoto nimemwelewa sana...mwanaume mwenye tege huwa ni added advantage!...sasa huyo akukumbatie