Hebu soma kisha toa maoni kwa serikali yako

Aug 17, 2016
69
45
Ipo dhana inayotembea vichwani mwa watanzania waliowengi kwamba hali ya maisha na hali ya nchi ilivyo sasa, imesababishwa na serikali ya Rais Magufuli ili ijenge nchi vizuri...

Hii imetumiwa hata na rais kufuatia kauli zake za kwamba anainyoosha nchi... Watu wameaminishwa kuwa serikali imeamua taifa lipitie humu ili kunyoosha nchi..

Huu ni uongo wa mchana, lakini ni uongo wa kisomi, ni uongo unaopangiliwa na ili uujue inabidi uwe muongo uliyeusomea kama hawa waongo magwiji wanaotudanganya ambao wengi wamesomea hasaa.... tena kwa kodi zetu wenyewe ii watudanganye...

Serikali takatifu ya Rais John Pombe Magufuli haihusiki na hali ngumu ya maisha inayowakumba Watanzania hivi sasa, bali nayo ipo kwenye hali ngumu kama tulivyo sisi, haielewe nini kilicholikumba taifa kwa hali hii... Ili iende sambamba na korasa ya kiutawala imeamua kununua ugumu wa maisha kuwa ni sera ya serikali hii katika kujenga taifa.

Ndio serikali zote duniani zinazokumbana na majanga ya aina hiyo hujichubua ngozi yake na kujifanya zenyewe zimezalisha janga hilo ili kufanya jambo kwa manufaa ya umma...

Hali ya mambo katika taifa ilianza bada ya ccm kuleta sheria ya mitandao kimkakati kwa ajili iwabebe katika uchaguzi, kisha tukanyimwa sehemu ya bajeti ya nchi kupitia wahisani wetu wa MCC kuelekea uchaguzi mkuu, ambao kimsingi walikuwa wakichangia zaidi ya 3trioni kwa mwaka, wakati tukishangaashaanga hilo, baada ya uchaguzi serikali ikabaka demokrasia kule Zanzibar kisha wahisani wetu katika bajeti wale wanaochangia zaidi 40% wakajitoa na kutwambia tukome kwenda kuomba kwao EU, nasi kupitia rais wetu mpendwa tukajibu mapigo kwamba hatutaki misaada yenu, serikali yetu haihitaji misaada, tutajitegemea kwa 100%.. Laaah haulaa...

Tukajifanya oooho wavimba macho wapo watatusaidia, lakini sera ya mvimba macho ni tofauti na sera ya mwenye pua ndefu katika misaada ya hisani.. Mvimbambacho umeomba kujengewa reli anakukopesha lakini sharti yeye ndie atakuwa mkandarasi na kibarua yeye... Kwamaana hiyo reli utapata, pesa nchini haitakanyaga itaishia huko huko mashariki ya mbali, na zaidi utalipa deni na pesa kwenda tena huko huko mashariki ya mbali... Watu wako wataendelea kubet mikeka na kupiga soga za kubebeana wake bila kusahau soga za simba na yanga na chadema na ccm katika vijiwe vya gahawa...

Ni taifa lipi litakaloweza kujiendesha bila kuyumba ikiwa litakosa bajeti yake zaidi ya 60%? Ni wazi kuyumba kwetu ni matokeo ya kibri cha kikundi kidogo tu cha makada wa ccm wanaoamini wao wanahati milki ya Tanzania na sisi wanatufanya kama mifugo ya kuku au bata tu.

Ugumu wa maisha waliyonayo watanzania leo ni kosa la kiserikali, sio sera za uchumi za serikali ya Rais Magufuli, wala sio katika harakati za serikali kulijenga taifa bali katika harakati za serikali kulibomoa taifa kwa uzembe na siasa za kikundi cha watu wa chache. Na sasa wanaliliza taifa na kilio wanakifanya ni ingizo la harakati za kulijenga taifa...

Serikali haikuwa na sera hii, wala haikutegemea hali hii itokee... Rejeeni ilani ya chama cha Mapinduzi.... Mkopo ya elimu ya juu ilisemaje ilani na leo nini kinatokea? Afya, usalama wa raia, kisiasa na mengineyo, leo kinachotokea kipo ndani ya ilani hiyo? Leo ccm wamembebesha mzigo mzito Rais Magufuli ilihali asingeuzimiza kichwa wala kuumiza taifa kama angepata bajeti inayostahili kama ilivyokuwa huko nyuma.

Kama kinachotokea hakipo katika Ilani ya ccm elewa hayo niliyokwambia....

Na Yericko Nyerere
 
About 70%
 
Yericko au Msambaa unajifanya panya unauma Halafu unapuliza.
Kwa nini Tanzania iwe omba omba.
Hii Serikali inajitahidi tuishi Kwa uwezo wetu.Ukiwa omba omba lazima ufuate masharti ya wanao kusaidia.Nchi nyingi hasa za Ulaya zilifilisika kwa sababu walitegemea misaada na mikopo ambayo walikuwa hawawezi kulipa.
Wameishi Kwa shida Sasa wanaanza kujitowa nchi hizo
Greece,Ireland Na Ureno nimezitaja chache tu.
Tanzania Na sisi tutatoka tu.
 
Amefanya fedha iwe ngumu kupatikana (amezuia madili na posho ghafla).

Amefanya mitaji iwe migumu kupatikana. fedha za serikali kupelekwa benki kuu inafanya wakopaji wanapewa masharti magumu na mabenki.

Mataifa yaliyopiga hatua kubwa kimaendeleo ni mataifa yenye misingi ya kurahisisha upatikanaki mitaji (capitalism).

Serikali zao hutoza kodi kidogo kwa wafanyabiashara wengi, mtukufu anachojali ni kodi nyingi kwa wafanyabiashara wachache. Anachochea biashara za zamani kufa bila kuwapo na biashara mpya. Mfano upungufu wa mizigo bandarini.

Kwa asilimia 100 hali ngumu tuliyo nayo imeletwa na serikali takatifu ya mtukufu.

kwa kila mwaka mmoja wa utawala wake maendeleo ya nchi yatarudi nyuma miaka miwili.

Labda abadilike aanze kusema kiujanja kila kitu ruksa, kama alivyosema juzi kati machinga ruksa.
Maisha yanaendelea bila purukushani na baadhi yao watakuja kuwa wafanyabiashara wakubwa.

Katazo la kucheza pool na kunywa bia nalo liishe kimya kimya watu wafurahi muda wanaotaka.

Mwenye njaa hachezi pool.

Kama kubeti ni ruksa pool na bia navyo viwe ruksa watu wachangamke wajenge nchi kwa furaha.
 
Ipo dhana inayotembea vichwani mwa watanzania waliowengi kwamba hali ya maisha na hali ya nchi ilivyo sasa, imesababishwa na serikali ya Rais Magufuli ili ijenge nchi vizuri...

Hii imetumiwa hata na rais kufuatia kauli zake za kwamba anainyoosha nchi... Watu wameaminishwa kuwa serikali imeamua taifa lipitie humu ili kunyoosha nchi..

Huu ni uongo wa mchana, lakini ni uongo wa kisomi, ni uongo unaopangiliwa na ili uujue inabidi uwe muongo uliyeusomea kama hawa waongo magwiji wanaotudanganya ambao wengi wamesomea hasaa.... tena kwa kodi zetu wenyewe ii watudanganye...

Serikali takatifu ya Rais John Pombe Magufuli haihusiki na hali ngumu ya maisha inayowakumba Watanzania hivi sasa, bali nayo ipo kwenye hali ngumu kama tulivyo sisi, haielewe nini kilicholikumba taifa kwa hali hii... Ili iende sambamba na korasa ya kiutawala imeamua kununua ugumu wa maisha kuwa ni sera ya serikali hii katika kujenga taifa.

Ndio serikali zote duniani zinazokumbana na majanga ya aina hiyo hujichubua ngozi yake na kujifanya zenyewe zimezalisha janga hilo ili kufanya jambo kwa manufaa ya umma...

Hali ya mambo katika taifa ilianza bada ya ccm kuleta sheria ya mitandao kimkakati kwa ajili iwabebe katika uchaguzi, kisha tukanyimwa sehemu ya bajeti ya nchi kupitia wahisani wetu wa MCC kuelekea uchaguzi mkuu, ambao kimsingi walikuwa wakichangia zaidi ya 3trioni kwa mwaka, wakati tukishangaashaanga hilo, baada ya uchaguzi serikali ikabaka demokrasia kule Zanzibar kisha wahisani wetu katika bajeti wale wanaochangia zaidi 40% wakajitoa na kutwambia tukome kwenda kuomba kwao EU, nasi kupitia rais wetu mpendwa tukajibu mapigo kwamba hatutaki misaada yenu, serikali yetu haihitaji misaada, tutajitegemea kwa 100%.. Laaah haulaa...

Tukajifanya oooho wavimba macho wapo watatusaidia, lakini sera ya mvimba macho ni tofauti na sera ya mwenye pua ndefu katika misaada ya hisani.. Mvimbambacho umeomba kujengewa reli anakukopesha lakini sharti yeye ndie atakuwa mkandarasi na kibarua yeye... Kwamaana hiyo reli utapata, pesa nchini haitakanyaga itaishia huko huko mashariki ya mbali, na zaidi utalipa deni na pesa kwenda tena huko huko mashariki ya mbali... Watu wako wataendelea kubet mikeka na kupiga soga za kubebeana wake bila kusahau soga za simba na yanga na chadema na ccm katika vijiwe vya gahawa...

Ni taifa lipi litakaloweza kujiendesha bila kuyumba ikiwa litakosa bajeti yake zaidi ya 60%? Ni wazi kuyumba kwetu ni matokeo ya kibri cha kikundi kidogo tu cha makada wa ccm wanaoamini wao wanahati milki ya Tanzania na sisi wanatufanya kama mifugo ya kuku au bata tu.

Ugumu wa maisha waliyonayo watanzania leo ni kosa la kiserikali, sio sera za uchumi za serikali ya Rais Magufuli, wala sio katika harakati za serikali kulijenga taifa bali katika harakati za serikali kulibomoa taifa kwa uzembe na siasa za kikundi cha watu wa chache. Na sasa wanaliliza taifa na kilio wanakifanya ni ingizo la harakati za kulijenga taifa...

Serikali haikuwa na sera hii, wala haikutegemea hali hii itokee... Rejeeni ilani ya chama cha Mapinduzi.... Mkopo ya elimu ya juu ilisemaje ilani na leo nini kinatokea? Afya, usalama wa raia, kisiasa na mengineyo, leo kinachotokea kipo ndani ya ilani hiyo? Leo ccm wamembebesha mzigo mzito Rais Magufuli ilihali asingeuzimiza kichwa wala kuumiza taifa kama angepata bajeti inayostahili kama ilivyokuwa huko nyuma.

Kama kinachotokea hakipo katika Ilani ya ccm elewa hayo niliyokwambia....

Na Yericko Nyerere

Mnanunua vindege kwa hela isiyo ktk bajeti ili wamachinga na wakulima wapande kwenda kuuza bidhaa na mazao yao!!!!!!maanake ni kuwa tumetoa mabilion ktk mzunguko wandani kwa wakati mmoja na kuyapeleka nje,pesa ambazo wangekuwa wamelipwa makandarasi zingezunguka humuhumu,je ni kweli wamachinga na wakulima tulihitaji eropleni?nani atapanda eropleni kama hakuna semina,warsha na makongamano kwa wale ulowashusha na kuishi kama masheitwani?AKILI NDOGO ZITAENDELEA KUTAWALA AKILI KUBWA
 
Confucianism
Leads us onto unexpected era of the tyranny king
 
K
Confucianism
Leads us onto unexpected era of the tyranny king[/QUOT

Kati ya hoja za kipuuzi hii ipo katika tatu bora.Unaamini kuwa uchumi ungeimarika kwa misaada ya MCC, tumepokea misaada miaka mingapi na imetusaidiaje? Unaona ni kero kukopa na kulipa kwa ajili ya ujenzi wa reli ila unafurahia tuendelee kufumua barabara zetu kwa mizigo na kuzikarabati kila mwaka ili mzunguko wa fedha uwe mkubwa.

Fanya kazi kwa bidii na maarifa,tunza na tumia unachokipata kwa nidhamu panga na tekeleza mipango yako kwa ajili ya maisha unayotaka kuyafikia.Unaongelea misaada ya kipuuzi ya Marekani,fuatilia kinachoendelea Marekani.

Kama Taifa tunapaswa kujua kuwa kesho yetu I mikononi mwetu,sisi si raia wa daraja la pili Duniani.Tuliumbwa kamili Kimwili,kiakili na kiroho tukapewa na upendeleo wa raslimali zinazoshangaza wengine.Tatizo baadhi yet mnalialia,matatizo hutatuliwa kwa akili si machozi.

Nitajieni nchi moja iliyoendelea kwa misaada ya wengine,ukilelewa kwa kudeka utaishi siku zote kwa kudeka"baba haleti chakula" hata kama tayari umeshakuwa baba.
 
Nime quote statement yako hapa chini, wewe umeshamaliza MJADALA hapo chini, unataka tujadili nini tena? yani umeconclude paragraphy ya 2 ya Insha yako. Nyie ndo wasomi wetu!

"Huu ni uongo wa mchana, lakini ni uongo wa kisomi, ni uongo unaopangiliwa na ili uujue inabidi uwe muongo uliyeusomea kama hawa waongo magwiji wanaotudanganya ambao wengi wamesomea hasaa.... tena kwa kodi zetu wenyewe ii watudanganye..."

Ipo dhana inayotembea vichwani mwa watanzania waliowengi kwamba hali ya maisha na hali ya nchi ilivyo sasa, imesababishwa na serikali ya Rais Magufuli ili ijenge nchi vizuri...

Hii imetumiwa hata na rais kufuatia kauli zake za kwamba anainyoosha nchi... Watu wameaminishwa kuwa serikali imeamua taifa lipitie humu ili kunyoosha nchi..

Huu ni uongo wa mchana, lakini ni uongo wa kisomi, ni uongo unaopangiliwa na ili uujue inabidi uwe muongo uliyeusomea kama hawa waongo magwiji wanaotudanganya ambao wengi wamesomea hasaa.... tena kwa kodi zetu wenyewe ii watudanganye...

Serikali takatifu ya Rais John Pombe Magufuli haihusiki na hali ngumu ya maisha inayowakumba Watanzania hivi sasa, bali nayo ipo kwenye hali ngumu kama tulivyo sisi, haielewe nini kilicholikumba taifa kwa hali hii... Ili iende sambamba na korasa ya kiutawala imeamua kununua ugumu wa maisha kuwa ni sera ya serikali hii katika kujenga taifa.

Ndio serikali zote duniani zinazokumbana na majanga ya aina hiyo hujichubua ngozi yake na kujifanya zenyewe zimezalisha janga hilo ili kufanya jambo kwa manufaa ya umma...

Hali ya mambo katika taifa ilianza bada ya ccm kuleta sheria ya mitandao kimkakati kwa ajili iwabebe katika uchaguzi, kisha tukanyimwa sehemu ya bajeti ya nchi kupitia wahisani wetu wa MCC kuelekea uchaguzi mkuu, ambao kimsingi walikuwa wakichangia zaidi ya 3trioni kwa mwaka, wakati tukishangaashaanga hilo, baada ya uchaguzi serikali ikabaka demokrasia kule Zanzibar kisha wahisani wetu katika bajeti wale wanaochangia zaidi 40% wakajitoa na kutwambia tukome kwenda kuomba kwao EU, nasi kupitia rais wetu mpendwa tukajibu mapigo kwamba hatutaki misaada yenu, serikali yetu haihitaji misaada, tutajitegemea kwa 100%.. Laaah haulaa...

Tukajifanya oooho wavimba macho wapo watatusaidia, lakini sera ya mvimba macho ni tofauti na sera ya mwenye pua ndefu katika misaada ya hisani.. Mvimbambacho umeomba kujengewa reli anakukopesha lakini sharti yeye ndie atakuwa mkandarasi na kibarua yeye... Kwamaana hiyo reli utapata, pesa nchini haitakanyaga itaishia huko huko mashariki ya mbali, na zaidi utalipa deni na pesa kwenda tena huko huko mashariki ya mbali... Watu wako wataendelea kubet mikeka na kupiga soga za kubebeana wake bila kusahau soga za simba na yanga na chadema na ccm katika vijiwe vya gahawa...

Ni taifa lipi litakaloweza kujiendesha bila kuyumba ikiwa litakosa bajeti yake zaidi ya 60%? Ni wazi kuyumba kwetu ni matokeo ya kibri cha kikundi kidogo tu cha makada wa ccm wanaoamini wao wanahati milki ya Tanzania na sisi wanatufanya kama mifugo ya kuku au bata tu.

Ugumu wa maisha waliyonayo watanzania leo ni kosa la kiserikali, sio sera za uchumi za serikali ya Rais Magufuli, wala sio katika harakati za serikali kulijenga taifa bali katika harakati za serikali kulibomoa taifa kwa uzembe na siasa za kikundi cha watu wa chache. Na sasa wanaliliza taifa na kilio wanakifanya ni ingizo la harakati za kulijenga taifa...

Serikali haikuwa na sera hii, wala haikutegemea hali hii itokee... Rejeeni ilani ya chama cha Mapinduzi.... Mkopo ya elimu ya juu ilisemaje ilani na leo nini kinatokea? Afya, usalama wa raia, kisiasa na mengineyo, leo kinachotokea kipo ndani ya ilani hiyo? Leo ccm wamembebesha mzigo mzito Rais Magufuli ilihali asingeuzimiza kichwa wala kuumiza taifa kama angepata bajeti inayostahili kama ilivyokuwa huko nyuma.

Kama kinachotokea hakipo katika Ilani ya ccm elewa hayo niliyokwambia....

Na Yericko Nyerere
 
Mnanunua vindege kwa hela isiyo ktk bajeti ili wamachinga na wakulima wapande kwenda kuuza bidhaa na mazao yao!!!!!!maanake ni kuwa tumetoa mabilion ktk mzunguko wandani kwa wakati mmoja na kuyapeleka nje,pesa ambazo wangekuwa wamelipwa makandarasi zingezunguka humuhumu,je ni kweli wamachinga na wakulima tulihitaji eropleni?nani atapanda eropleni kama hakuna semina,warsha na makongamano kwa wale ulowashusha na kuishi kama masheitwani?AKILI NDOGO ZITAENDELEA KUTAWALA AKILI KUBWA

Laptop67.Uzuri wa Serikali inaamua inavyotaka Kwa manufaa ya WaTanzania na ilani za chama tawala.Sio unavyo taka wewe au kuwaridhisha wapinzani.Nime isikia sana hiyo Ngonjera ya "Akili ndogo zitaendelea kutawala akili kubwa"
Wapinzani wakiongoza nchi wafanye wanavyo penda wao Kwa manufaa ya WaTanzania.
 
Hoja kama hizi ni nzuri. Zinayufundisha na kutupa fursa za kutafakari. Hoja hizi zinapanua mawazo.

Mfano mzuri umetoa. Je, Tanzania inajiendesha inavyotakiwa nchi kujiendesha?

Mfumo wa Uongozi halisi.
Chama kilitakiwa kiwe peke yake
Serikali ilitakiwa iwe peke yake.

Sawa na hardware na software.

Lakini Tanzania yetu kumekuwa na mseto. Software ndio hiyo hardware, na hardware ndio hiyo operating system na ndio hiyo hiyo pia anti virus. Itawezekana kweli na ndio maana tunajikuta kwenye hali ngumu.

Tumeona "Hamu Binafsi" ndizo zinaweza kuwa Sera zitakazo tawala nchi yetu.

Hatuwezi kwenda kwenye kiwanda kinachotengeneza dawa tukataka kujitibu Ugonjwa. Kuna Hospitali, kuna Dakitari, Kuna Mahabara, kila Ugonjwa na dawa yake na pia kuna wauguzi. Leo hii Kiwanda cha dawa ndio Hospitali, Ndio Maabara, ndio Dakitari, ndio Wauguzi, mgonjwa (mwananchi) atapona?

Wakati Wazungu wametumia sayansi na teknolojia kundundua dawa ya Ukwimu na Kisukari, sisi tunakimbilia kikombe cha Babu.
Kwenye karne ya 21?

Hapa hatukosoi, hapa tunakumbushana na kuelimishana.

Kuna mfano bora wa Uongozi zaidi ya ule tutakaojifundisha kutoka SADC, kwa wakati huu?
Kwanini turudi na tusiegemee huko?

Tumejikita, kushindania au kufuata mifano au kutaka kuwa kama nchi za maziwa makuu, nchi zenye historia ya migogoro na zisizokuwa na nidhamu au mifano mizuri ya Uongozi. Nchi zisizothamini utu na thamani ya Ubinaadamu.

Tusisahau Azimio 2076 la Baraza kuu la Usalama la Umoja wa Mataifa, ndio lililoidhinisha kupeleka wanajeshi wetu Congo kulinda amani. Wanajeshi wetu hawakwenda kujenga viwanda vya Ice Cream huko.

Tumeisahau Pretoria "Economical Giant" wa bara hili. Na Pretoria ndio iko madarakani leo kupitia Ubarikio wetu na mchango wetu wa awali.

Pretoria ni watu safi, Waaminifu, Kiuchumi, Kiusalama, Kisiasa na hata katika sanaa na utamaduni wa Mwafrika. Ni sehemu Mwafrika anaweza kutimiza ndoto yake. Ni watu wanatupenda na kutuelewa.

Mcheza kwao hutunzwa.

c8868ca480f3da0af077aa0ebdb313aa.jpg
Mzee una hoja lakini jinsi ulivyochanganya madawa humo ndani unaleta mkanganyiko...... Manake kuna maazimio tunayatekeleza yaliyopitishwa 2076 sasa daaahh, Tafadhali tujitahidi ku proof read kabla hatujapost michango yetu
 
Semeni yote ila Mimi ninachojua tokea serikali hii imeingia madarakani mshahara wangu haujawahi chelewa zaidi ya tarehe 25 ya kila mwezi.
 
Semeni yote ila Mimi ninachojua mwaka huu mzee wangu wa Lindi na Ntwara wamepata hadi million 50 tzs kutokana na mauzo ya korosho. Hii haijawahi kutokea.
 
Semeni yote ila mkumbuke tuna pangaboi 2 zinakata upepo ndani ya mwaka mmoja ilhali zilishapotea kwa zaidi ya miaka 15.
 
kwel tupu. refer to BOT ripot. "Goverment projects and programs underfunded" naamin due to insuffient fund. Heaven know were we are going
 
Back
Top Bottom