Hebu sema laki, alafu sema millioni, kwa matamshi ip kubwa

Mi naona laki kimatamshi cause mpaka ulimi upande juu, million nirahisi kutamka, ila kuupata, shughuli, taratibu, lips zinacheza zaidi, unaweza kusema laki ukiwa na maji mdomoni?, embu jaribu
 
Mi naona laki kimatamshi cause mpaka ulimi upande juu, million nirahisi kutamka, ila kuupata, shughuli, taratibu, lips zinacheza zaidi, unaweza kusema laki kirahisi ukiwa na maji mdomoni?, embu jaribu
 
Laki moja ndogo na milioni ni ndogo zaidi, hivi nimepatia kweli?. Hebu ngoja nijaribu tena kutamka ili nione ipi ni ndogo.
The unseen is illustrated by the seen.
 
Hiyo laki au millioni inategemea ni ni kitu gani? Ni US$, Euro Pounds etc mie nipe dola laki moja zitanipiga tafu sana tu
 
Back
Top Bottom