egentle
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 810
- 374
Habari jamani wanajamvi
Hivi karibuni nimekuwa nikisikia hali tofauti, mwili. Nahisi hile hali kama ya kusisimka muda wote, kuna hali fulani hivi naipata lakini nashindwa hielezea, hii hali huja mara nyingi nikifumba macho.
Jana nimeota, nimeenda kwenye shule moja hivi ipo maeneo ya vijijini. Shule imekuwa ikisumbuliwa sana na mama mchawi sana, hadi masomo kushndwa kuendelea.
Sijui lengo la mimi kuwa huko, lakini alijihirisha mbele yetu na kuanza kutusumbua. Nilichowaza ni kuwa only JESUS can save us, nilijijua mim ni mchafu sana moyoni. So nikaanza kutubu ili nipate upatanisho na Mungu niweze tumia jina Jesus efectively.
Nilitubu nikiamini kuwa hakuns litakalo shindana na Jina la Yesu, nikakemea mama mchawi akaleta kama upinzani lakini alizidiwa na kumshinda (Maana alikimbia)
Hii ndoto inahusiana na hii hali??
Nauliza hili maana jioni hii, nikiwa room nikitaka pumzika nikajisemea kuwa sijasali muda mrefu, ile nafumba macho nasali,natubu lakini nilivyokuwa nikitaka endelea nikaanza kufili something kama inataka nizuia nisiweze endelea,mdomo ukawa mzito na kuhisi kama sauti nzito inataka kutoka kinywani mwangu ikileta maneno tofauti,nisiyo yajua.
Nilikazana kusema hivyo hivyo, though sio perfect, USHINDWE KWA JINA LA YESU till nilivyo-feel mwili upo mwepesi,na kuweza kutake over
maana nilihisi somethiang else inatak kutake over.
Nimetoka hapo kwa hofu kuja sebuleni, nikawa nahisi kama kuna kitu kinataka tena kuniangusha nikawahi kukaa chini huku nikitoa sauti kidigo(Mimi mwenyewe)
Hebu nisaidien kulitafakari hili, Je! Hii ni nini? Just a condition? Hisia na hofu tu? Au kitu gani? Nipe mchango na maono yako hapa.
N.B Sorry kwa uandishi huu wa haraka. NAOMBA TUANGILIE MAUDHUI YAKE, Karibuni.