Hebu pitia kidogo unipe wazo lako

egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
770
500
Habari jamani wanajamvi

Hivi karibuni nimekuwa nikisikia hali tofauti, mwili. Nahisi hile hali kama ya kusisimka muda wote, kuna hali fulani hivi naipata lakini nashindwa hielezea, hii hali huja mara nyingi nikifumba macho.

Jana nimeota, nimeenda kwenye shule moja hivi ipo maeneo ya vijijini. Shule imekuwa ikisumbuliwa sana na mama mchawi sana, hadi masomo kushndwa kuendelea.

Sijui lengo la mimi kuwa huko, lakini alijihirisha mbele yetu na kuanza kutusumbua. Nilichowaza ni kuwa only JESUS can save us, nilijijua mim ni mchafu sana moyoni. So nikaanza kutubu ili nipate upatanisho na Mungu niweze tumia jina Jesus efectively.

Nilitubu nikiamini kuwa hakuns litakalo shindana na Jina la Yesu, nikakemea mama mchawi akaleta kama upinzani lakini alizidiwa na kumshinda (Maana alikimbia)

Hii ndoto inahusiana na hii hali??

Nauliza hili maana jioni hii, nikiwa room nikitaka pumzika nikajisemea kuwa sijasali muda mrefu, ile nafumba macho nasali,natubu lakini nilivyokuwa nikitaka endelea nikaanza kufili something kama inataka nizuia nisiweze endelea,mdomo ukawa mzito na kuhisi kama sauti nzito inataka kutoka kinywani mwangu ikileta maneno tofauti,nisiyo yajua.

Nilikazana kusema hivyo hivyo, though sio perfect, USHINDWE KWA JINA LA YESU till nilivyo-feel mwili upo mwepesi,na kuweza kutake over
maana nilihisi somethiang else inatak kutake over.

Nimetoka hapo kwa hofu kuja sebuleni, nikawa nahisi kama kuna kitu kinataka tena kuniangusha nikawahi kukaa chini huku nikitoa sauti kidigo(Mimi mwenyewe)

Hebu nisaidien kulitafakari hili, Je! Hii ni nini? Just a condition? Hisia na hofu tu? Au kitu gani? Nipe mchango na maono yako hapa.

N.B Sorry kwa uandishi huu wa haraka. NAOMBA TUANGILIE MAUDHUI YAKE, Karibuni.
 
Phoenix

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
10,393
2,000
Unasumbuliwa na nguvu za giza,nenda kwenye maombi...ila umepima malaria?
 
mpyepye

JF-Expert Member
Nov 27, 2014
251
0
Habari jamani wanajamvi

Hivi karibuni nimekuwa nikisikia hali tofauti, mwili. Nahisi hile hali kama ya kusisimka mda wote, kuna hali flan hiv naipata lakini nashindwa hielezea, hii hali huja mara nyingi nikifumba macho.

Jana nimeota, nimeenda kwenye shule moja hivi ipo maeneo ya vijijin. Shule imekuwa ikisumbuliwa sana na mama mchawi sana, hadi masomo kushndwa kuendelea.
Sijui lengo la mimi kuwa huko, lakini alijihirisha mbele yetu na kuanza kutusumbua. Nilicho waza ni kuwa only JESUS can save us, nilijijua mim ni mchafu sana moyoni. So nikaanza kutubu ili nipate upatanisho na Mungu niweze tumia jina Jesus efectively.
Nilitubu nikiamin kuwa hakun litakalo shindana na Jina la Yesu, nikakemea mama mchawi akaleta kama upinzani lakin alizidiwa na kumshnda (Maana alikimbii)

Hii ndoto inahusiana na hii hali??

Nauliza hili maana jion hii, nikiwa room nikitaka pumzika nikajisemea kuwa sijasali mda mrefu, ile nafumba macho nasali,natubu lakini nilivyokuwa nikitaka endelea nikaanza kufili somethng kama inatak nizuia nisiweze endelea,mdomo ukawa mzito na kuhisi kama sauti nzito inataka kutoka kinywani mwangu ikileta maneno tofaut,nisiyo yajua.
Nilikazan kusema hivyo hivyo, though sio perfect, USHINDWE KWA JINA LA YESU till nilovyo feel mwili upo mwepesi,na kuweza kutake over.
maana nilihis somthng else inatak kutake over.

Nimetoka hapo kwa hofu kuja sebuleni, nikawa nahisi kama kuna kitu kinataka tena kuniangusha nikawahi kukaa chini huku nikitoa sauti kidgo(Mimi mwenyewe)

Hebu nisaidien kulitafakari hili, Je! Hii ni nini? Just a condition? Hisia na hofu tu? Au kitu gani? Nipe mchango na maono yako hapa.

N.B Sorry kwa uandishi huu wa haraka. NAOMBA TUANGILIE MAUDHUI YAK, Karibun

Wanafunzi wa ras simba utawajua tu.
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
29,620
2,000
Kiongozi MziziMkavu natamani angekuwepo hapa labda angetusaidia mimi mwenyewe haya kwangu ni mageni.

Tuwangojee wadau
 
Last edited by a moderator:

MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
40,606
2,000
Habari jamani wanajamvi

Hivi karibuni nimekuwa nikisikia hali tofauti, mwili. Nahisi hile hali kama ya kusisimka muda wote, kuna hali fulani hivi naipata lakini nashindwa hielezea, hii hali huja mara nyingi nikifumba macho.

Jana nimeota, nimeenda kwenye shule moja hivi ipo maeneo ya vijijini. Shule imekuwa ikisumbuliwa sana na mama mchawi sana, hadi masomo kushndwa kuendelea.

Sijui lengo la mimi kuwa huko, lakini alijihirisha mbele yetu na kuanza kutusumbua. Nilichowaza ni kuwa only JESUS can save us, nilijijua mim ni mchafu sana moyoni. So nikaanza kutubu ili nipate upatanisho na Mungu niweze tumia jina Jesus efectively.

Nilitubu nikiamini kuwa hakuns litakalo shindana na Jina la Yesu, nikakemea mama mchawi akaleta kama upinzani lakini alizidiwa na kumshinda (Maana alikimbia)

Hii ndoto inahusiana na hii hali??

Nauliza hili maana jioni hii, nikiwa room nikitaka pumzika nikajisemea kuwa sijasali muda mrefu, ile nafumba macho nasali,natubu lakini nilivyokuwa nikitaka endelea nikaanza kufili something kama inataka nizuia nisiweze endelea,mdomo ukawa mzito na kuhisi kama sauti nzito inataka kutoka kinywani mwangu ikileta maneno tofauti,nisiyo yajua.

Nilikazana kusema hivyo hivyo, though sio perfect, USHINDWE KWA JINA LA YESU till nilivyo-feel mwili upo mwepesi,na kuweza kutake over
maana nilihisi somethiang else inatak kutake over.

Nimetoka hapo kwa hofu kuja sebuleni, nikawa nahisi kama kuna kitu kinataka tena kuniangusha nikawahi kukaa chini huku nikitoa sauti kidigo(Mimi mwenyewe)

Hebu nisaidien kulitafakari hili, Je! Hii ni nini? Just a condition? Hisia na hofu tu? Au kitu gani? Nipe mchango na maono yako hapa.

N.B Sorry kwa uandishi huu wa haraka. NAOMBA TUANGILIE MAUDHUI YAKE, Karibuni.
Ndoto yako inaonyesha umekumbwa na Jinamizi baya omba Dua na sali kwa imani yako itakusaidia egentle

Kiongozi MziziMkavu natamani angekuwepo hapa labda angetusaidia mimi mwenyewe haya kwangu ni mageni.

Tuwangojee wadau
Vipi Mkuu HARUFU Salama lakini?
 
Last edited by a moderator:

Phoenix

JF-Expert Member
Sep 6, 2012
10,393
2,000
Nimekutwa na malaria mbili mkuu
Pole sana ila maombi muhimu,ila malaria ina tabia ya kusababisha hayo mambo,unaweza ukaota vita,vifo au hata majanga ukadhani uchawi kumbe malaria au kuishiwa nguvu,kizunguzungu na kuchanganyikiwa wakati mwingine!
 
Mama Joe

JF-Expert Member
Mar 30, 2009
1,504
1,225
Unasumbuliwa na nguvu za giza,nenda kwenye maombi...ila umepima malaria?

ni kweli kuna nguvu zinakusumbua na hiyo inadhihirishwa na vita ndotoni na umeweza kuzishinda ulipotubu. Kuna nguvu zina au zitakusumbua imani yako au wako watu wanakuombea lakini ni juu yako usimame mwenyewe. Usishangae ktk vita kemea kinachosemwa usikijali maana vita ni ya Bwana Roho wake atakupigania. Mara nyingi ndoto huashiria yajayo. Chukua hatua
 
egentle

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
770
500
ni kweli kuna nguvu zinakusumbua na hiyo inadhihirishwa na vita ndotoni na umeweza kuzishinda ulipotubu. Kuna nguvu zina au zitakusumbua imani yako au wako watu wanakuombea lakini ni juu yako usimame mwenyewe. Usishangae ktk vita kemea kinachosemwa usikijali maana vita ni ya Bwana Roho wake atakupigania. Mara nyingi ndoto huashiria yajayo. Chukua hatua

Ahsante kwa ushauri.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom