Nathan Jr
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,437
- 1,875
HII INAENDELEA KUNIAMINISHA KWAMBA KUMBE KUNA MHIMILI CHIMBIFU ZAID YA MINGINE
NA RAIS YUKO JUU YA MAHAKAMA NA BUNGE kwasababu zangu hizi
A. Rais ni sehem ya bunge, yaan bunge Lina sehem mbili, bunge na (rais)serikali hapo hapo ndani,
Lakin hakuna mahakama au sehem ambako jaji mkuu anatuma wa kumwakilisha bungeni, yaan mahakama si sehem ya bunge,
B. Rais anateua mtendaji mkuu wa bunge yaan
Ofisi ya Bunge
Katibu wa Bunge
Sheria ya 1984 Na.15 ib.14
87.-(1) Kutakuwa na Katibu wa Bunge ambaye atateuliwa na Rais kutoka miongoni mwa watu wenye madaraka ya juu katika utumishi wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano.
(2) Katibu wa Bunge atakuwa ndiye mtendaji mkuu katika Ofisi ya Bunge na atawajibika kwa utendaji bora wa shughuli za Bunge kwa kuzingatia masharti ya Katiba hii na ya sheria inayohusika.
C. Rais anaweza kulivunja bunge japo nalo laweza kumwajibisha, lakin hakuna sehem ambako jaji mkuu anaweza hata kulivunja bunge au kumwajibisha rais,
D. Jaji mkuu anateuliwa na rais , lakin rais hateuliwi na jaji mkuu, na wala hana mamlaka juu ya rais ,
E. Rais ndo amiri jeshi mkuu, Ana mamlaka ya kuzima au kutangaza Vita, sioni mahali ambako panampa chembe hata moja spika wa bunge au jaji mkuu,
F. Mishahara yote na matumizi yote ya serikali na bunge na mahakama inalipwa na serikali ambayo inaongozwa na rais wa nchi ,
I. Rais ndo anawakilisha nchi nje na kimataifa , anatambulika rais, juzi nimepita nchi kadhaa , kama nne zote wanauliza habari ya magufuli rais wa Tanzania ,hakuna anayemjua ndugai wala jaji mkuu, na hawana sababu ya kumjua,
J. Maendeleo ya nchi yakiwepo au yakatoweka hautasikia mtu akisema Samweli sitta alituaharubia nchi, lakin utasikia kikwete kaharibu nchi,
Najiuliza hii wanayoita check and balance unamaanisha nini, hakuna usawa hapo ni uongo mtupu, rais yuko juu ya chochote
Lakin kuwa wanaoendelea kufarijiana kwamba mihimili yote mitatu ni sawa, hapana