Hebu pitia hapa tujadili hili suala kwa maslahi yetu wote

SectionTwenty

JF-Expert Member
Aug 3, 2013
674
604
PESA ZA WATEJA WA M-PESA,TIGO PESA, AIRTEL MONEY NA Z-PESA WANAO FARIKI ZINAKWENDA WAPI?

Kutokana na makampuni karibu yt ya simu Tz kuwa na huduma hz za mobile money, Je inapotokea mteja amefariki, makampuni yanawajibika vipi kuhusu kurudisha pesa za mteja wao kwa msimamizi wa mirathi au warithi?

Swali hiili linazingatia kuwa wateja wanaoweza kutwa na mauti kwa vyovyote wanaweza kuwa na akiba kidogo kwenye ac zao za
mitandao ya simu wanayotumia!

Je kuna sheria yoyoteambayo imeweka bayana masuala haya?kwa wenzetu walio kwenye makampuni ya simu tafadhali mtusaidie
kwa hili!

Naomba kuwasilisha kwa mjadala!
 
Hii imekaa ki utata kweli nadhani serikali inatakiwa kujibu hapa maana ndio waliowapa kibali cha haya makampuni kuendesha biashara hii. wasikazanie kutaka kodi ya kumiliki laini tu na hili walifanyie kazi
 
tafakuri ya kina inahitajika hapa ili kuondoa hii sintofahamu,.


''wanahusika au wanaofahamu hili tuelimisheni jamani''
 
Sasa waztaka za nn?kuchum wachume wao wamefark tayr ww waulizia,wAbongo bhana
 
Hili ni la msingi serikali na makampuni ya simu wanatakiwa waliweke sawa kuokoa pesa za watu wanaofariki.
 
Back
Top Bottom