Hebu oneni ukigeugeu wa viongozi wa ccm

Mnasihi

JF-Expert Member
Oct 9, 2013
6,365
2,000
Ni leo ktika mkoa wa Lindi ambapo katibu mkuu na katibu mwenezi wa ccm wametoa kauli kwenye mkutano wa hadhara kuwa waliohusika katika kuusaidia wizi wa fedha za escrow wabebe misalaba yao na kukiacha chama chao salama.
Kwangu ni unafiki wa wazi kwani ki.na.na ni fundi sna katika kufanaikisha ishu za wizi kwa ushirikiano na rosttamu aliyeikimbia nchi. Alikuwa anajua jinsi mipango ilivyokuwa inakwenda tangu issue hii iwe raised na Kafulila bungeni nao wakaanza kumbeza na kumdhiki. Iweje leo wao ccm waseme hili wanalijua na waliohusika waondoke? Eti wezi na wala rushwa wa ccm waliwahi kuondolewa kwenye nafasi zao!. Lini na ni nani kwa mfano?.
Nawashauri waache kujifanya wameumizwa na wizi wa fedha za umma kwani wao ndo wezi wakuu.
Chanzo ni startv na itv habari saa 2 usiku.
 
Jungumawe

JF-Expert Member
May 2, 2009
249
195

Adhabu za ccm ukikwapua mihela mingi yafuatayo hujitokeza 1.unatetewa kwa nguvu zote na chama 2.adhabu ya pili ni kuonywa kisirisiri kelele zikizidi 3.adhabu ya Tatu ambayo ni Kali sana unaambiwa jipime uondoke na ukatafune pesa ulizokwapua kwa raha zako bila kusumbuliwa na mamlaka yoyote na baada ya muda unaweza kurudi kukwapua zingine kama za mwanzo zimepungua huo ndiyo utaratibu wa CCM ya leo
 
Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
46,339
2,000
Nanikawauliza matumiziyao hukomkoani wakaekimya mpaka mwana waadamu qtakapokuja
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom