Hebu Ona Hawa Wanaotakiwa Kupita VIP Tabora | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hebu Ona Hawa Wanaotakiwa Kupita VIP Tabora

Discussion in 'Jamii Photos' started by Amavubi, May 4, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  May 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,949
  Likes Received: 4,022
  Trophy Points: 280
  Photo0039.jpg
  Changieni nyie kwanza
   
 2. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #2
  May 4, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,961
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Napita tu!
   
 3. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #3
  May 4, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,138
  Likes Received: 468
  Trophy Points: 180
  Mhhhh kweli hao waliotajwa wanastahili aise kupita VIP
   
 4. MWEEN

  MWEEN JF-Expert Member

  #4
  May 4, 2012
  Joined: Feb 6, 2010
  Messages: 466
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 35
  Ina maana kule kwa kawaida hakuna wanaopita kwa sababu hao ndio wanaoweza kulipia tickets za ndege. Kwa mantiki hii, kule kwa kawaida ndio kunakuwa VIP. watu wanajinafasi kwa uhuru while VIP ni congested.
   
 5. M

  MJM JF-Expert Member

  #5
  May 4, 2012
  Joined: Mar 30, 2010
  Messages: 461
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Huko ni mikoani na hao ndiyo wakuu kule hawa wengine walio hapa Dar wakienda kule si ni special? Waziri akipita hata magari yanaweza kusimamishwa barabarani apite. VIP yenyewe hata haina hadhi ile watu wanatarajia (JNIA walitumia 12 Bilioni nadhani lakini pale ni darasa la MMEM) Mimi naona wako sahihi kwa hali yao ya maisha. KIDUMU CHAMA CHA MATUMBUZI.
   
 6. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #6
  May 4, 2012
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 25,252
  Likes Received: 7,070
  Trophy Points: 280
  Kumbe na mie nipo....hivi hii hai-apply na kwingine?
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  May 4, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,251
  Likes Received: 15,045
  Trophy Points: 280
  VIP yenyewe ina vigoda badala ya masofa
   
 8. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #8
  May 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,782
  Likes Received: 5,549
  Trophy Points: 280
  Kwanini Maaskofu wote lakini Sheikh wa Mkoa tu?
   
 9. Kwetu Iringa

  Kwetu Iringa JF-Expert Member

  #9
  May 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 359
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 0
  Daktari Mkuu wa mkoa je???!!!
   
 10. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #10
  May 4, 2012
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,059
  Likes Received: 883
  Trophy Points: 280
  hivi masheikh wanapandaga ndege kweli hawa?hahaaaa
   
 11. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #11
  May 4, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,743
  Likes Received: 1,075
  Trophy Points: 280
  Mh....Nashukuru na mie nimo kwenye hiyo orodha.........................
   
 12. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #12
  May 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,949
  Likes Received: 4,022
  Trophy Points: 280
  hapo umegonga ikulu
   
 13. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #13
  May 4, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 28,949
  Likes Received: 4,022
  Trophy Points: 280
  Vipi kuhusu mshauri wa mgambo wa mkoa??
   
 14. VUTA-NKUVUTE

  VUTA-NKUVUTE JF-Expert Member

  #14
  May 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,782
  Likes Received: 5,549
  Trophy Points: 280
  Wasindikizaji hawarusiwi kuingia ndani ya VIP.Si kweli.Itakuwaje ambapo Mkuu wa Mkoa anasindikizwa na Afisa Usalama wa Taifa-Mkoa?
   
 15. Kinyungu

  Kinyungu JF-Expert Member

  #15
  May 4, 2012
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 3,509
  Likes Received: 1,853
  Trophy Points: 280
  Hivi tabora airport kuna vip lounge pale kweli? Acheni utani bana
   
 16. mi_mdau

  mi_mdau JF-Expert Member

  #16
  May 4, 2012
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  heee, ile airport nayo ina VIP, haki ya nani..!!!! Iko wapi pale, au underground?????
   
 17. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #17
  May 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,596
  Likes Received: 346
  Trophy Points: 180
  wapi hapo??
  VIP ya train station ya Ifakara nini?
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  May 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  83 vs 17
   
 19. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #19
  May 4, 2012
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,981
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Mshauri wa mgambo mkoa...Huyu anakuwa na ujuzi gani katika ulinzi?.......
   
 20. Utingo

  Utingo JF-Expert Member

  #20
  May 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 7,034
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  nimekuona mkuu. nasikia siku hizi hata mahawara wana VIP pass
   
Loading...