hebu nipeni jibu ili nami nijiajili...maana nmesubiri ajira mpaka nimechoka. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hebu nipeni jibu ili nami nijiajili...maana nmesubiri ajira mpaka nimechoka.

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by majogajo, Apr 4, 2012.

 1. m

  majogajo JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2012
  Joined: Oct 9, 2011
  Messages: 321
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  wakuu naweza pata wapi destop flatscreen nzuri na kwa bei gani? iwe na specification hizi, 80GB HDD, 2 or 1GB RAM, CDR yaani inaweza kuban, aina ya Dell. usisahaukuniandikia specification na aina pamoja na bei.
   
 2. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #2
  Apr 4, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  pale kariakoo huwa nazionaona
   
 3. chumvichumvi

  chumvichumvi JF-Expert Member

  #3
  Apr 5, 2012
  Joined: May 6, 2010
  Messages: 1,050
  Likes Received: 108
  Trophy Points: 160
  tembea tembea pande za k/koo
   
 4. ProBook

  ProBook JF-Expert Member

  #4
  Apr 5, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 455
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Kwa ushauri usipende sana bidhaa za dell eventhough ni nzuri sana because vikija kuharibika kupata accesories zake huwa shida sana kama vp try compaq or mercury ni za maisha marefu an good for business
   
 5. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #5
  Apr 5, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,918
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Nenda Kariakoo Ndugu. Maximum Laki 4 unapata complete (CPU+Screen+Mouse+Keyboard)
   
 6. j

  jmnamba Senior Member

  #6
  Apr 5, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ungemsaidia kumtajia na mtaa/location karibu na nini?
   
 7. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #7
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Ni kweli, dell huwa zinasumbua sana. Nilishawahi kupost uzi nikielezea jinsi dell zinavyosumbua, na hususani hizi dell za mwaka 2006 kuja juu. Zina tatizo la AMBER LIGHT kuwa yellow badala ya green, na hivyo kupelekea kompyuta kutowaka.
  Nilipo-google nikaambiwa huenda tatizo ni MOB, procesor au processor fan au power supply.
  Site moja ikaniambia kuwa dell baazi ya dell zina tatizo la heat sink, linalosababisha processor fan kusimama na hatimae processor kushindwa kufanya. Site hiyo ikaniambia kuwa dell wenyee wamekili kupokea vifaa feki vya heat sink.
  Kwa hiyo nakushauri ununue hp compaq au aina nyingine.
   
 8. Baba Mtu

  Baba Mtu JF-Expert Member

  #8
  Apr 5, 2012
  Joined: Aug 28, 2008
  Messages: 881
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Pale katika maduka yanayozunguka mzunguko wa kariakoo (round about), ukitokea msimbazi ni mkono wa kulia.

   
 9. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2012
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Ipo dell harddisk 80,RAM 1GB,processor ni 2.4GHZ,DVD WRITER(ina burn),flat screen inc16.bei yake ni lak nne na thelathini.namba zangu ni 0655222214 na 0768222214.tuwasiliane.
   
 10. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ajira mbona kibao tu! Haujatafuta tu.
   
Loading...