Hebu nieleze vizuri kweli umelogwa au ni ile sukari kubwa..............

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali Naibu Waziri wa Ujenzi, Dkt.Harrison Mwakyembe wakati alipomtembelea nyumbani kwake Kunduchi Mtongani, jijini Dar es Salaam juzi.
 
kweny hiyo picha unaona jamaa macho yake yako kwenye mikono. na mgonjwa na naye kaficha mikono. sijajua kwanini abebe mpiga picha kwenda kwa mwakyembe ili hali vitu ambavyo ni national interest hawaruhusu camera. watu wenye kufikiri zaidi munaweza kuona huu mchezo anaucheza huyu bwana. lakini mwakyembe mwenyewe ndiyo aamue kufa na itikadi ipi.....
 
Dah, kumbe ana afya njema hivyo si angebaki baki hapa home waende wengine wasiojiweza kabisa? Pole mpiganaji wetu ukipona utoke CCM sasa
 
duh aisee una macho makali sana, yeah naona kama vile jamaa kashupalia mikono ya mwenzie, sijui kanyimwa mkono....
kweny hiyo picha unaona jamaa macho yake yako kwenye mikono. na mgonjwa na naye kaficha mikono. sijajua kwanini abebe mpiga picha kwenda kwa mwakyembe ili hali vitu ambavyo ni national interest hawaruhusu camera. watu wenye kufikiri zaidi munaweza kuona huu mchezo anaucheza huyu bwana. lakini mwakyembe mwenyewe ndiyo aamue kufa na itikadi ipi.....
 
muombeeni bac ata apone, 7bu akipona sithani kama atabaki tena magamba aje cdm 2namuhitaji,
 
We unataka wamshomoe nafsi kabisaaaa kama akija cdm
wengi wanataman lkn wanahofia maisha yao Shibuda yy ni msanii
katumwa na magamba
muombeeni bac ata apone, 7bu akipona sithani kama atabaki tena magamba aje cdm 2namuhitaji,
 
Big ma; u r absolutely right, CDM ndo wanahitaji watu kama hawa ambao national interests zawekwa masaburini na personal goals upstairs.
muombeeni bac ata apone, 7bu akipona sithani kama atabaki tena magamba aje cdm 2namuhitaji,
 
Back
Top Bottom