Hebu nambie, Unakumbuka nini na wapi unaposikia Hivi Vitu. Humu humu ndani ya Afrika.

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Miaka yetu sisi tunasikiliza music pure, genuine not contaminated. Huwa nakumbuka mbali sana kiasi natamani nisikie na wenzangu kama walikuwa na zama kama hizi. Siku zote najiuliza. Wakati umekwenda wapi? Where are you?

Si mbali sana. Ni miaka hivi karibuni tu. Wakati muziki ulipokuwa muziki.

sikumbuki chochote
wahenga kazi kwenu,,,
images
 
Mimi nakumbuka nikiwa mdogo miaka ya tisini mshua alikuwa anapenda kusikiliza wimbo wa jamaa mmoja mtata sana alikuwa anaitwa Peter Tosh na wimbo ulikuwa unaitwa Soon come,pia alikuwa na cassette ya Remmy ongala na wimbo alioukuwa anapenda kuusikiliza ulikuwa unaitwa narudi nyumbani,ongezea wahenga wengine wa Rock n roll kama akina Jimmy Hendrix na album ya voodo child,kwenye afro beat hapo kuna Fela kuti na Keita.
 
Nakumbuka c2c.

Inapigwa Mahotela Queens (Mi najua inaitwa Kazeti) inapigwa ngoma ya Chico. Halafu unapigwa wimbo wa Magic System Gauo.

Kisha TVT walikua wana wimbo wa Taifa unapigwa na bendi ya JKT.
 
Sam mapangala,sakis,Luciana,bozi boziana,cool n gang,Lionel Richie's,lady madonna,ice base wazee wa naughty baby Bila kumsahau Judy Boucher nilikuwa mdogo sana baba alikuwa na player baadayr akanunua Lasonic Radio mtaa mzima sisi ndio sisi
 
ipo sahihi hicho kituo cha TV sijui kilishia wapi. sisi wengine tulikuwa pia tunapata ngoma kama hizo kupitia Channel O
Nakumbuka c2c.

Inapigwa Mahotela Queens (Mi najua inaitwa Kazeti) inapigwa ngoma ya Chico. Halafu unapigwa wimbo wa Magic System Gauo.

Kisha TVT walikua wana wimbo wa Taifa unapigwa na bendi ya JKT.
 
ha ha ha.. hiyo ilikuwa pande za wapi tanzania hii? umenikumbusha mzee wangu alikuwa mmoja ya watu wa kwanza kabisa kununua Radio yenye kutumia CD hapa nchini. ilikuwa balaa hasa mtaani. tulikuwa tunagonga music ile mbaya akiwa yupo kazini home ilikuwa kama ukumbi wa music.

Sam mapangala,sakis,Luciana,bozi boziana,cool n gang,Lionel Richie's,lady madonna,ice base wazee wa naughty baby Bila kumsahau Judy Boucher nilikuwa mdogo sana baba alikuwa na player baadayr akanunua Lasonic Radio mtaa mzima sisi ndio sisi
 
umenikumbusha fel akuti anikulapo.. wewe kweli wa miaka ileeeee wakati music ulikuwa music.

Back
Top Bottom