HEBU MTAZAMO WENU WanaJF,WANAFUNZI WE2 WENGI KUWA UGANDA KWA ELIMU Olever V/s Alever | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

HEBU MTAZAMO WENU WanaJF,WANAFUNZI WE2 WENGI KUWA UGANDA KWA ELIMU Olever V/s Alever

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by LiverpoolFC, May 10, 2011.

 1. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #1
  May 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Mi ni mkazi wa Jiji la Arusha! Kuna ki2 kinanitatiza sana kwani nimeona wanafunzi wengi wa matajiri hapa kumalizia mamilioni ya Tsh shule za Uganda,Swali kwangu ni Je? Wizara ya elimu hili wameliwekaga vipi? Hebu twendeni pamoja kwa wanaolijua,CV ZAO WANAZITAMBUJE?
   
 2. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Jama hapa hkn anayejua angalau kwa Ufupi? Bado nawasikilizia tafadhalini Wandugu!! Mmmmmh!! Inaniboa sana tena sanaaaaa!!!!
   
 3. B

  BENTA Member

  #3
  May 11, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kumbuka mzazi yeyote anapeleka mwanae kusoma pale anapoona elimu inayotolewa ni nzuri kulingana na kipato chake,na vilevile sasa hivi Tanzania iko katika jumuia ya afrika mashariki ambapo tunategemea siku za karibuni kuwa na soko la pamoja hivyo chukulia hali hiyo kama mandalizi katika utekelezaji kwa vitendo.Pamoja na uzalendo kuwa kitu muhimu lakini ni vigumu kumchagulia mtu mwenye pesa asomeshe watoto wake hapa nchini au nje ya nchi kwani itakuwa kuingilia maisha yake.La maana ni kuomba wenye mitaji wajenge shule nzuri ili kuvutia watanzania wasomeshe watoto hapa nchini badala ya kulalamika .
   
Loading...