Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

Dr Mihanjo sio Mihayo,mzee wa mabibo girls are beautiful.
Professor Kopoka UDSM mzee wa DS na notice...mnaandika notice mpaka mkione wakati huo alikuwa Dr....why Europe underdeveloped Africa.

Mihayo udsm mzee wa philosophy mzee wa ufilipino mzee wa kodrai

Maisha ya chuo kuna namna ukiyakumbuka yanafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Proff Juan Mwaikusa, Dr Mvungi mlinifunza mambo ya msingi sana, kitu kimoja cha msingi mlinifunza petience, Mungu awarehemu, sijamsahau Mwl Simwaba na Mtefu waalimu wangu wa sekondari mkae pema.

Sorry na Mwalimu Maufi wa shule ya msingi sijakusahau ukae pema peponi.

Sorry mleta mada umelenga wahadhiri but wengine we are so touched na waalimu waliotujengea misingi kabla ya kufika vyuo see you in the next life.
 
Jamani, ni hulka ya wanadamu kutotangaza mema ya watu lakini wepesi sana kutangaza mabaya ya watu.

Hivi karibuni kuna madaktari kadhaa walitangazwa na wanafunzi wao kwa ubaya sana! Sijui kama tuhuma walizotangazwa kwazo zilikuwa na ukweli au la!

Huu uzi naomba tufanye kinyume, tuwaseme wakufunzi wetu wa vyuo vikuu kwa majina yao kwa namna walivyo 'committed', 'fair' na mahiri ktk kutoa mashule na hata walivyo fair ktk kutoa na ku'mark' mitihani yenu! Niishie hapo
Nilitaka kuchangia huu uzi nikakereka kuona mtoa maada hajawataja wahadhiri wake... acha kutuchoresha wewe
 
Probably you wanted to mean "How" and not "why" Europe underdeveloped Africa.
Professor Kopoka UDSM mzee wa DS na notice...mnaandika notice mpaka mkione wakati huo alikuwa Dr....why Europe underdeveloped Africa.

Mihayo udsm mzee wa philosophy mzee wa ufilipino mzee wa kodrai

Maisha ya chuo kuna namna ukiyakumbuka yanafurahisha

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom