hEbU LeO tUtAfAhaMiaNe kWa MaJiNa YeTu hALisIa/vIrEfU vYa aVaTaR zEtU!! NAANZA...

eh! kwa jina naitwa SAITOTI
nilikua naishi kenya lakini
kwa sasa naishi KABURINI
Mungu amenilaza mahali pema pepioni amen
 
Jina:Mullah Mohamed Omar
Makazi:Kandahar na Torabora
Kazi:CIA agent
Nilipokuwa na umri kama wako hapo UDSM nilithamini sana muda wa masomo na sikuwa naposti vitu vya ajabu jamboforum siku kama hizi za mitihani jipange dogo ndo maana leo nakula hela za Wamarekani.

Kweli wewe ni msema ovyo kha!
 
Naitwa Bee'Kini Delgraùß.
Am a gal of Dot com Generation.
Naishi Kino-Clain.
Bado nanyonya kwa wazazi.
Avatar yangu inaji-introduce kwamba am a white person.
NEXT...
 
Back
Top Bottom