Hebron Mwakagenda ni nani hasa?,internet imetegua swali hilo.

MSAGA SUMU

JF-Expert Member
May 25, 2015
6,478
20,394
Kutoka mtandaoni
42500403_140897116860117_1080291296939081728_n.jpg

Aliyezungushiwa Duara Katika watu waliosimama ni Mmoja wa wajumbe wa Kituo cha sheria na haki za binaadam, ambaye pia ni mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba (JUKATA), ambaye pia ni mwenyekiti wa asasi ya kiraia inayojihusisha na deni la taifa ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu wa zamani wa CHADEMA wa zamani, ambaye pia ni mume wa mbunge wa viti maalum wa CHADEMA bwana Hebron Mwakagenda, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chama chake cha CHADEMA baada ya kuzindua sera ya chama hicho.

Hata hivyo kesho na kesho kutwa Bwana Mwakagenda hachelewi kufanya press conference na kujidai mwanaharakati asiye na chama cha siasa huku akimkandia Rais Magufuli.

Waswahili wanasema Njia ya Muongo fupi.
 
Kutoka mtandaoni
42500403_140897116860117_1080291296939081728_n.jpg

Aliyezungushiwa Duara Katika watu waliosimama ni Mmoja wa wajumbe wa Kituo cha sheria na haki za binaadam, ambaye pia ni mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba (JUKATA), ambaye pia ni mwenyekiti wa asasi ya kiraia inayojihusisha na deni la taifa ambaye pia ni mjumbe wa kamati kuu wa zamani wa CHADEMA wa zamani, ambaye pia ni mume wa mbunge wa viti maalum wa CHADEMA bwana Hebron Mwakagenda, akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa chama chake cha CHADEMA baada ya kuzindua sera ya chama hicho
Hata hivyo kesho na keshokutwa Bwana mwakagenda hachelewi kufanya press conference na kujidai mwanaharakati asiye na chama cha siasa huku akimkandia Rais JPM
Waswahili wanasema Njia ya Muongo fupi.
Anafahamika kitambo
 
Sawa mpiga ramli mkuu!
 
Sasa hapo tatizo nini?Rais anamamlaka ya kuchukua au kukataa maoni haijalishi aliyetoa ni Chadema au ccm.Ndo maana rais Jiwe akipata watu kama hawa huwa moja kwa moja anwapa vyeo maana anajua ndio wenye akili timamu.Sasa wewe unakuja kutoa povu hapa unamaanisha kwamba katiba inavunjwa au kosa ninkumkosoa rais ama!Unashangaza aisee.Badilika Magufuli hataki watu kama wewe na kama tayari umechukua kiti awamu hii basi ujue soon atakutengua.
 
Watumishi wa asasi za kiraia hawaruhusiwi kumkosoa Jpm? Mjumbe (wa zamani) wa tume ya katiba haruhusiwi kuwa mwanachama wa chama chochote?
 
Wewe unafikiri hiyo katiba anayoililia kila siku atataka iwe ya na maslahi ya taifa au ilinde maslahi ya Chaadema?
chadema inajinasibu kwa kutetea maslahi ya taifa,na katiba inapaswa kusimama kupigana maslahi ya taifa,na mjumbe wa tume ya katiba naye yupo kwa ajili ya maslahi ya taifa! So you can find equation, right person in a right track!
 
Dr Benson Bana ni ccm, Jaji Augustino Ramadhani ni ccm, Robert Mboma ni ccm, Mahita ni ccm,Alfred Tibaigana ni ccm.

So whats is ur point? Kuna kigezo chochote amepindisha kwamba hana sifa ya kuwa kwenye hizo taasisi?
Benson Bana sio CCM,leo Mnyika akisimama akasema Mbowe anakipeleka chama shimoni Bavicha mtasisima na kudai Mnyika ni CCM tokea miaka ya 90(mtu mwenye maoni tofauti na nyie huwa ni CCM),hao wengine they pledged their allegiance after retirement,to me thats very fair ,hamna maslahi wanayolinda tena
 
Vipi kuhusu viongozi wa Majeshi yetu wanaokuwaga kwenye vikao vya ccm, wao pia wanaweza kujidai ni wajeshi wasio na vyama vya siasa

Mkuu imempiga K'O ,kama ni Nyundo ni ile ya Mawe.Akikujibu nistue na mimi nione .
 
Back
Top Bottom