Heart beat disorder inanimaliza, naombeni msaada ndugu zangu

Cathy Diwani

Senior Member
Feb 13, 2016
119
182
Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati. Nilifanya vipimo vya moyo (ultra sound, ECO, na AKG lakini moyo ulikuwa normal kabisa, sikuonekana na tatizo.

Nikaambiwa shida ni stress hivyo nikapewa dawa za Propranolol na amytriptiline, shida ikaisha. Lakini nilipata tatizo likanifikirisha kiasi, tatizo linarudi, moyo kwenda mbio, kuruka mapigo na kupiga kwa nguvu kiasi naskia mpaka masikioni kishindo cha mapigo ya moyo.

Nimerudi hospitali, nimepewa dawa zile zile lakini hazinisaidii. Naona tatizo limekuwa kama ni mara mbili zaidi.

Kwa Sasa moyo unaruka mapigo mfululizo mpaka nahisi kama akili zinahama(feeling nervous)

Naombeni msaada kuwa wapi naweza kupata huduma ya tatizo hili. Nimepita pita mitandaoni angalau nimeweza kudhibiti panick attack, nimebaki na anxiety disorder maana kuwa wakati naogopa kitu ambacho sikijui mpaka najishangaa. Lakini pia nimekosa kujiamini, kuna muda najihisi kama sijakamilika.

Nisaidieni. Nimepitia changamoto flani za mahusiano ambapo nimeshazikubali kuwa ni sehemu ya maisha yangu.

Nisaidieni hapa kwenye mapigo ya moyo maana kuna muda nahisi kama moyo utasimama ghafla.

Asanteni
 
Pole ndugu yangu, nilishawahi nami kuwa na hiyo problem but be happy uta recover into full life!
Nilitaka nikuite PM ila naona hata hapa poa, ni hivi..
Achana na hizi hospitali na dawa zao watakuua...wengi matatizo huwazidi wakiisha anza kujipeleka hospitali.

Nakuambia hivi, kama hujavunjika mguu wala mkono usiende hospitali.
Dawa zako ziwe majaji mabichi ya mti wowote wa matunda na mboga za majani, chagua mwenyewe angalau kila siku upate juice ya majani hayo, usichemshe.

2. Usile vitu vya bandia kama soda, biskuti yaani vyakula vyote vya viwandani panoja na dawa za meno za viwandani achana nazo kanisa.

3. Usinywe maji ya chupa, kunywa ya chem chem au visima virefu, usichemshe.
4.Usiguse dawa za hospitali hizi za Chemistry/ alchemy
5.Achana na hizi dini kabisa

Maisha ni energy in a vibration form.
Uki disturb vibration kwa ku poison body and brain una disturb mfumo unaugua.
Uki balance body from good food and drink una enjoy maisha
 
Umegusia kwa juu sana ila nimekuelewa kwasababu nilipitia hali hiyo na nikaamua mwenyewe kua siitaki ,..Suluhu ya tatizo lake ni yeye mwenye.. kimsingi afanye Yoga saa, apende mazingira / Nature ajifunze zaidi kuhusu Chakra balancing naona mtoa mada ana hilo tatizo pia.. Kwa wale wataalam akina pasco waje wamsaidie ila.. G.A.D inazingua sana..imenipelekesha mwaka mzima!
Grounding.png
 
Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder kiasi cha miaka mitatu iliyopita hali iliyopelekea kuwa na mapigo ya moyo kwenda kasi, kuruka na moyo kupiga kwa nguvu kwa baadhi ya nyakati. Nilifanya vipimo vya moyo (ultra sound, ECO, na AKG lakini moyo ulikuwa normal kabisa, sikuonekana na tatizo.

Nikaambiwa shida ni stress hivyo nikapewa dawa za Propranolol na amytriptiline, shida ikaisha. Lakini nilipata tatizo likanifikirisha kiasi, tatizo linarudi, moyo kwenda mbio, kuruka mapigo na kupiga kwa nguvu kiasi naskia mpaka masikioni kishindo cha mapigo ya moyo.

Nimerudi hospitali, nimepewa dawa zile zile lakini hazinisaidii. Naona tatizo limekuwa kama ni mara mbili zaidi.

Kwa Sasa moyo unaruka mapigo mfululizo mpaka nahisi kama akili zinahama(feeling nervous)

Naombeni msaada kuwa wapi naweza kupata huduma ya tatizo hili. Nimepita pita mitandaoni angalau nimeweza kudhibiti panick attack, nimebaki na anxiety disorder maana kuwa wakati naogopa kitu ambacho sikijui mpaka najishangaa. Lakini pia nimekosa kujiamini, kuna muda najihisi kama sijakamilika.

Nisaidieni. Nimepitia changamoto flani za mahusiano ambapo nimeshazikubali kuwa ni sehemu ya maisha yangu.

Nisaidieni hapa kwenye mapigo ya moyo maana kuna muda nahisi kama moyo utasimama ghafla.
Asanteni
Mkuu pole kwa maradhi yako ya Heart beat disorder Tiba ninayo nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona amradhi yako uguwa pole.
 
Nilipata tatizo la panick attacks na anxiety disorder

nimeweza kudhibiti panick attack, nimebaki na anxiety disorder maana kuwa wakati naogopa kitu ambacho sikijui mpaka najishangaa. Lakini pia nimekosa kujiamini, kuna muda najihisi kama sijakamilika.

Nisaidieni. Nimepitia changamoto flani za mahusiano ambapo nimeshazikubali kuwa ni sehemu ya maisha yangu.
Pole sana kwa kweli.

Changamoto za mahusiano ndiyo zimekuharibia. Unahitaji kuonana na pyschologist.

Ngoja waje kukupa muongozo...
 
Hata mimi nina matatizo kama yako na nishaangaika sana hospitali bila mafanikio... dawa ni moja tu ambayo nimeamua ni mazoezi ya kutembea nusu saa asubuhi na nusu saa jioni na naona mafanikio tatizo limepungua sana.

Halafu usipende kukaa muda mrefu chini jitahidi uwe ni mtu wa kwenda hapa na pale au fanya hichi na kile ilimradi usikae bure na jitahidi sana usiwe na stress hata kidogo.
 
Katika maisha penda kidogo na chukia kidogo! Kama mwenza kakuletea maambukizi ya AIDS accept the reality and move on
 
Pole ndugu yangu, nilishawahi nami kuwa na hiyo problem but be happy uta recover into full life!
Nilitaka nikuite PM ila naona hata hapa poa, ni hivi..
Achana na hizi hospitali na dawa zao watakuua...wengi matatizo huwazidi wakiisha anza kujipeleka hospitali.
Nakuambia hivi, kama hujavunjika mguu wala mkono usiende hospitali.
Dawa zako ziwe majaji mabichi ya mti wowote wa matunda na mboga za majani, chagua mwenyewe angalau kila siku upate juice ya majani hayo, usichemshe.
2. Usile vitu vya bandia kama soda, biskuti yaani vyakula vyote vya viwandani panoja na dawa za meno za viwandani achana nazo kanisa.
3. Usinywe maji ya chupa, kunywa ya chem chem au visima virefu, usichemshe.
4.Usiguse dawa za hospitali hizi za Chemistry/ alchemy
5.Achana na hizi dini kabisa
Maisha ni energy in a vibration form.
Uki disturb vibration kwa ku poison body and brain una disturb mfumo unaugua.
Uki balance body from good food and drink una enjoy maisha
To add on that atumie pia majani ya mlonge ule unga wake,hakika atapona kabisa
 
Pole ndugu yangu, nilishawahi nami kuwa na hiyo problem but be happy uta recover into full life!
Nilitaka nikuite PM ila naona hata hapa poa, ni hivi..
Achana na hizi hospitali na dawa zao watakuua...wengi matatizo huwazidi wakiisha anza kujipeleka hospitali.
Nakuambia hivi, kama hujavunjika mguu wala mkono usiende hospitali.
Dawa zako ziwe majaji mabichi ya mti wowote wa matunda na mboga za majani, chagua mwenyewe angalau kila siku upate juice ya majani hayo, usichemshe.
2. Usile vitu vya bandia kama soda, biskuti yaani vyakula vyote vya viwandani panoja na dawa za meno za viwandani achana nazo kanisa.
3. Usinywe maji ya chupa, kunywa ya chem chem au visima virefu, usichemshe.
4.Usiguse dawa za hospitali hizi za Chemistry/ alchemy
5.Achana na hizi dini kabisa
Maisha ni energy in a vibration form.
Uki disturb vibration kwa ku poison body and brain una disturb mfumo unaugua.
Uki balance body from good food and drink una enjoy maisha
To add on that atumie pia majani ya mlonge ule unga wake,hakika atapona kabisa
 
Mkuu pole kwa maradhi yako ya Heart beat disorder Tiba ninayo nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona amradhi yako uguwa pole.
Wewe jamaa acha kuona matatizo ya wengine ni fursa kwako,mara zote watu wakielezea matatizo yao basi wewe unadai unaweza kuyatibu! Sidhani kama una uwezo wa kutibu kila tatizo bali naona unajaribu kujitafutia faida.
 
Kuna mfanano kiasi na tatizo la moyo na presha nililowahi post hapa jf kupata msaada.
Moyo kutanuka na mpigo ya moyo kuwa chini.

Wengi walitoa maoni na matapeli walijaribu kusema tuma pesa nikuagizie dawa.nilichochukua katika maoni

1 .ulaji bora yaani kuepuka vyakula taka kama chips maandazi na vyote vya kukaagwa. Nikatumia na natumia balanced diet na michesho.
2.kunywa maji kwa wingi ya vuguvugu bilauri 8 hadi 12 kulingana na uzito wako.
3.achana na stress za mapenzi kwa kujifunza kutojari hisia kali.
4 rizika na upatacho ila jikuze
5 fanya mazoezi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu pole kwa maradhi yako ya Heart beat disorder Tiba ninayo nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia upate kupona amradhi yako uguwa pole.
we jamaa una tiba ya kila kitu au ndio wale wamasai ambao uwa hawakosi tiba ya ugonjwa wowote
 
Back
Top Bottom