Heart Attack maana yake ni nini

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,597
215,272
1565547346855.jpeg

Tunaelewa kuwa moyo kazi yake ni ku pump damu safi kwenda sehemu zote za mwili na kupokea damu chafu na juu pump iende kwenye mapafu.

Moyo unaweza supply yake ya damu, mirija yake inaitwa coronary arteries na coronary vains.

Kwa wale wenye mafuta ya ziada mwilini na wabeba vi fridge, kuna hatari ya morons hii kuzibwa na mafuta. Moyo ukikosa supply ya damu ndiyo inaitwa hear attack. Heart attack inaweza kusababishwa na kupasuka kwa mirija hiii kutokana na hypertension.
 
Ingia kwenye hii website itakusaidia kidogo juu ya heart attack na general cardiovascular diseases
 
View attachment 1178604

Tunaelewa kuwa moyo kazi yake ni ku pump damu safi kwenda sehemu zote za mwili na kupokea damu chafu na juu pump iende kwenye mapafu.

Moyo unaweza supply yake ya damu, mirija yake inaitwa coronary arteries na coronary vains.

Kwa wale wenye mafuta ya ziada mwilini na wabeba vi fridge, kuna hatari ya morons hii kuzibwa na mafuta. Moyo ukikosa supply ya damu ndiyo inaitwa hear attack. Heart attack inaweza kusababishwa na kupasuka kwa mirija hiii kutokana na hypertension.
ASANTE KWA SOMO MUJAARABU
 
Huyu mzee atakuwa shabiki wa MANCHESTER UNITED
 
Back
Top Bottom