Waberoya
Platinum Member
- Aug 3, 2008
- 15,168
- 10,793
Tuhuma za watu kutekwa au kutishiwa maisha serikali mmeishasema hamuhusiki, si polisi, JWTZ au TISS. Lakini kama watu walifanyiwa hayo, wakaumizwa na kisha kila kona mnasingiziwa nyie na hasa wewe ukiwa kama waziri husika ina maana
1. Kikundi hiki cha kuwatesa watu kimeishinda nguvu serikali na kuwa wewe kama waziri haukiwezi hivyo unapaswa kuondoka kuachia wanaoweza
2. Au kuwa ndani ya serikali kuna uasi ambao unakifanya kikundi fulani kufanya kazi kwa matakwa binafsi na umeshindwa kudhibiti
3. Kuwa sisi wote tunaweza kuumizwa na hiki kukundi ambacho kiko ndani au nje ya serikali hivyo umeshindwa kutangaza hali ya hatari
Pili Gwajima anachofanya muda si mrefu kinaweza kikawa kinafanywa na kila kikundi cha kidini hapa nchini sasa kwa muda mrefu sana serikai ya CCM imekuwa kwenye misuguano na vikundi vya kiislamu hivyo unasema kuwa au unamaanisha
1. Kuwa wakiibuka au vikiibuka vikundi vya kiislamu kujadili mambo yao kama Gwajima anavyofanya hamtavisumbua wala kusema ni vikundi vya kigaidi
2. kuwa wakiibuka wakristo wanaofanana na Gwajima wakayasema hayo kama tunavyosikia basi hakuna shida
Gwajima anaongea MENGI HADHARANI JE ANAYOYASEMA AMBAYO HAYAJAREKODIWA NI YAPI?? NA WEWE KUKAA KIMYA UNAFAIDIKA NINI?
KWA MFANO MWIGULU KESHO UKAAMUA KUMFUNGIA GWAJIMA, kutoshiriki shughuli zozote za siasa na ya kuwa asikae kwenye kundi za zaidi ya watu watano ...UNAFIKIRI SHIDA ITAKUWA WAPI? AU UNAOGOPA NINI KITAKUPATA WAKATI KAISHAVUNJA SANA SANA SHERIA ZA UANZILISHI WA HAYA MAKANISA AU VIKUNDI VYA DINI?
au akiendelea hivi, kesho tutakuwa tayari wengine wakianza na hatutasema kitu au ndio tutashtuka muda huo
Kanisa la Gwajima ni la kufungiwa na kufutwa na wale waumini wakasali makanisa mengine
Kwa hayo yote hapo juu nashangaa kama Rais ataendelea kukuamini ukabaki kwenye hicho cheo
Na mh. Tutashangaa kama huyo bwana anatakiwa kubaki hapo kama waziri
Mrema bado yuko hai, kajifunze ubabe kwake tutulie na tuishi kwa amani
Nchi itulie bana khaaa!
Wabe