he!kumbe toyota noohar hazina viwango vya tbs!kupigwa marufuku-sumatra | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

he!kumbe toyota noohar hazina viwango vya tbs!kupigwa marufuku-sumatra

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by white wizard, Mar 5, 2012.

 1. w

  white wizard JF-Expert Member

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  ajari ya toyota noohar iliyotokea wiki jana,mkoani mwanza inaonekana kuleta balaa kwa wenye magari wote,wanaomiliki magari ya aina hiyo,kwa sumatra imeibuka toka usingizini kuwa magari hayo hayana viwango vilivyoidhinishwa na tbs kubeba abiria! Kwani hayana sehemu ya kuweka mizigo,hazina mlango wa dharura.

  Na wafanyabiashara wanazipenda kutokana na bei yake kuwa ndogo ukilinganisha na bei ya hiace na coster.hapa mi ndio huwa napata wasiwasi na hizi mamlaka husika,kwani ni muda mrefu toka usafiri huu uanze kutumika,hususani wilayani,na walipewa kibali cha kusafirisha abiria(TLA).

  Sasa inakuwaje leo wanasema hayana viwango?hivyo wamesema mwisho wa haya magari kutumika ni mwezi juni mwaka huu. Kazi kwenu wadau mliokopa na kuyanunua,kuna m2u namjua anayo magari 12!cjuiatayapeleka wapi!tumlaumu yule dreva aliyegeuza gari katikati ya barabara,na kusababisha ajari mbaya na basi la zakaria.
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Noohar?
   
 3. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Sina imani na Ekelege aliwalisha sumu wabunge na kuna bidhaa kibao ni substandard ie bati,mbao,vyakula etc
  Noah ziko nyingi tuu zabeba watu kila kona ya nchi leo ndo wanaamka usingizini?
   
 4. w

  white wizard JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: May 18, 2011
  Messages: 2,462
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280
  Cha msingi c umeelewa nilimanisha nini? Au ionekane we uko makini sana! Cio mbaya sana.
   
Loading...