He is 24 n she z 24...kutakua na ndoa kweli hapo!?

baadhi ya mabinti huwa desperate sana wanapoona biological clock inazidi ku-tick bila mambo kueleweka but 24 years of age mbona umri bado kabisa... kama vipi, ampumzishe dogo pembeni atafute voda fasta wa kuondolea nuksi kwanza....
 
uyo dada ana mawazo ya kitoto.ajakua.
so anataka kufanya uamuzi wa kuolewa na mtoto kisa anahofu ya kuolewa?DAH ET MTU MWENYEWE ANA MIAKA 24..nan alimwambia kuwai kuolewa ndo dili?..nan alimdanganya HAKUNA MAISHA BILA NDOA?

mwambie atulie....kuolewa the same age ni hatar mbelen...utazeeka wakat mwenzako akiwa yank na kuanza kurun na vschana uko nje kwa kukuona wewe ajuza....apo utaumia moyona utajiunga kanisa la kakobe bilakupenda

wanaume weng wanachelewa kukua/kumature so kuwa na mtu wa miaka 24 ni sawa na kuwa namtu wa miaka 22 kifikra so apo tegemea mizozo isokwsha...cz AJAKUA BADO MWANAUME WA KUJUA YOUR POSITION NA POSITION YAKE....BT ukiolewa na aliyekuzid umri eg miaka 4 ,5,6 hali inakuwa shwar cz at least anajua position yake na ivyo migongano ya kila mtu kutaka kuonyesha mkubwa zaid ya mwenzake inakuwa imepungua
ndo maana nakupenda
 
Tatizo lenu vijana wasiku hizi mnakimbiliana kufanya ngono watu ambao hata hamjui wana nia gani na nyie, kama mngekuwa kama wakati wetu ambapo hakuna kugusana mpaka baada ya ndoa kusingekuwa na tatizo, maana mtu hata asipokuoa si bado uko pure una wasiwasi gani, na isitoshe Mungu anakuwa upande wako maana hungemkosea na wakati unapofika anakupatia wa kwako. SASA HUYO DADA KAMA ANAWEZA KUJITUNZA ASIWE NA WASIWASI NA HUYO AGEMATE WAKE, AHAKIKISHE ANAMPA TUNDA SIKU YA NDOA NA SIO VINGINEVYO

Huo wakati wenu ni upi?
 
Hakuna tatizo...kama kutakuwa na ndoa hayo ni maamuzi yenu hasa katika idara ya uvumilivu kuanzia sasa mpaka hapo mtakapoamua kuzifunga pingu za maisha.

Last edited by a moderator:
uyo dada ana mawazo ya kitoto.ajakua.
so anataka kufanya uamuzi wa kuolewa na mtoto kisa anahofu ya kuolewa?DAH ET MTU MWENYEWE ANA MIAKA 24..nan alimwambia kuwai kuolewa ndo dili?..nan alimdanganya HAKUNA MAISHA BILA NDOA?

mwambie atulie....kuolewa the same age ni hatar mbelen...utazeeka wakat mwenzako akiwa yank na kuanza kurun na vschana uko nje kwa kukuona wewe ajuza....apo utaumia moyona utajiunga kanisa la kakobe bilakupenda

wanaume weng wanachelewa kukua/kumature so kuwa na mtu wa miaka 24 ni sawa na kuwa namtu wa miaka 22 kifikra so apo tegemea mizozo isokwsha...cz AJAKUA BADO MWANAUME WA KUJUA YOUR POSITION NA POSITION YAKE....BT ukiolewa na aliyekuzid umri eg miaka 4 ,5,6 hali inakuwa shwar cz at least anajua position yake na ivyo migongano ya kila mtu kutaka kuonyesha mkubwa zaid ya mwenzake inakuwa imepungua
I don't mean to offend any one but, nikisoma hii komment naona mhusika ana umri mkubwa na hajaolewa bado, anajifariji kuwa kuna maisha bila ndoa, something which is not true katika akili za mwanamke yoyote yule including herself..every womans dream is to be married
 
Huyo mwanamke keshapata mtu anampromise kumuoa, hana lolote, kama vipi amuache kijana wa watu atafute kazi atengeneze pesa kwanza asimzeeshe. Yeye kama anaona anachelewa atafute gubeli la miaka 35 limuoe. After all umri wa huyo kijana kwa kuoa ni bado sana, kama ataweza kuvumilia at leas miaka tano hadi sita ijayo akatuliza mbuchuchu yake ataolewa naye kama wanapendana. You have to be optimistic in love!
 
I don't mean to offend any one but, nikisoma hii komment naona mhusika ana umri mkubwa na hajaolewa bado, anajifariji kuwa kuna maisha bila ndoa, something which is not true katika akili za mwanamke yoyote yule including herself..every womans dream is to be married

ungalitambua usingalinena.:painkiller:
 
Back
Top Bottom