He he he heeeJK HUYOOOOOOOOOOO

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
67834_500036493360281_1225706747_n.jpg
 
Ushamba na ulimbekeni mwingine kumbe haujui umri wala cheo. Kwani aliyeweka sheria ya kuvaa jezi wadhani njinga kama huyo kilaza wenu?
 
Ushamba na ulimbekeni mwingine kumbe haujui umri wala cheo. Kwani aliyeweka sheria ya kuvaa jezi wadhani njinga kama huyo kilaza wenu?


Acha kujishushia heshima hasa ukizingatia mtu mwenye heshima ya baba wa wote wa jukwaa hili! Mara ngapi nawaona marais mbalimbali akiwepo obama wanacheza basketbal huku hawajavaa jezi?

Mimi nadhani ungeuliza hiyo ilikuwa kwenye occasion ipi then ndiyo uanze kukejeli! Vipi kama alikuwa anafungua mashindano ya basketball mahala,ulitaka na yeye aende makwapa wazi?
 
yote kwa yote nimegundua huyu jamaa hapendwi siku hizi.
 
kule uarabuni wakicheza basket au football huwa wanavaa kanzu??????

hawavai kanzu...ila kuna kitu lazima uelewe kuwa hapo jamaa hayuko kwenye mechi...itakuwa tu ni break ndogo kaamua kunyoosha mikono kisela...hii ni kawaida sana mtu nyumbani kwake ana mini basketball court anarusha rusha mpira sometimes....exposure muhimu
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom