Ushamba na ulimbekeni mwingine kumbe haujui umri wala cheo. Kwani aliyeweka sheria ya kuvaa jezi wadhani njinga kama huyo kilaza wenu?
Ushamba na ulimbekeni mwingine kumbe haujui umri wala cheo. Kwani aliyeweka sheria ya kuvaa jezi wadhani njinga kama huyo kilaza wenu?
Kwanza anastahili bakora, hawezi akaligeuza vazi rasmi la kiislamu kuwa jezi.
kanzu ni utamaduni wa kiarabu na sio vazi rasmi la kiislamu
kule uarabuni wakicheza basket au football huwa wanavaa kanzu??????
Nani aliyesema kuwa ni vazi rasmi la kiislam?Kwanza anastahili bakora, hawezi akaligeuza vazi rasmi la kiislamu kuwa jezi.
Sasa....sio lazima kuvaa jezi ndo ucheze basket ball