He has done so much for me, I can't tell it all. Narekelema

Dr Dre na mke wake .... More than 27 years Ila wapo kwenye vugu vugu la kuachana sembuse wewe na hicho kidubwna chako....kwa Hiyo hapo unaliwa Taimingi 😂😂😂
 
Kila la heri Nasu, "apataye mke, apata kitu chema, naye ajipatia kibali kwa Bwana"!
 
Kwanini watu wapo negative kiwango hiki kuhusu mahusiano, hili lina justify kwamba wanaume wote hawafai? Ama wanawake wote hawafai.?

Comments zote nimesoma hapo juu ni za kukatisha tamaa, yamaanisha hata ninyi mloandika ni wenza wabovu kwa wapenzi wenu, sivyo?

Kwamba haiwezekani watu wawili wakapendana zao kwa dhati, upendo wa kweli usio na mawaa regardless ya wamekutana wapi, hivi haiwezekani kabisa.?

Hakuna upendo wa dhati siku hizi .....hapo huyo jamaa akiishiwa hela ataona rangi zote za huyu demu
 
Ni Mimi na mpenzi wangu niliempata kupitia jukwaa hili Sasa jamani tushafikisha miezi sita na bado hatujaachana wale mliosema tutaachana mwezi hauishi sijui mna neno gani la kutuambia

Tushapelekana kwa wazazi. Tunategemea kuanza maisha muda wowote kuanzia Sasa je tutakuwa tumewahi

Nishawajua nduguze wengi wazazi na ndugu wa Karibu pia Mimi anawajua baadhi ya ndugu zangu

Kipi bora
Ndoa ya kanisani
Ndoa ya serikali
Sogea tuishi?

Faida na hasara KWA Aina ya ndoa utakayoitaja

Tupo tayari kwa ndoa yeyote kwasasa Mana tunahitajiana, sherehe na manjonjo mengi hatutaki sana kikubwa tunahitajiana sisi tu.

Refer ✓
He has done so much for me, I can't tell it all. Narekelema
Mrekodi sasa connection yenu ili tuwaone
 
Back
Top Bottom