He has done so much for me, I can't tell it all. Narekelema

Yooote ulio yataja bado haya kuhakikishii kwamba utaolewa nae, na kama unabisha niulize mimi...
By the way, naona kama umekuja kuwa dokushia watu flani walio wahi kuku/kuwa diss....
Anyway, ili kufikia ndoa inahitaji mambo mengi kidogo na hasa uvumilivu na kujitoa/kuvhukuliana. Ndoa haipimwi kwa kujuana na ndugu, kupelekwa kwa wazazi na vitu kama hizo.
Ebu basi muombea Mungu awafanyie wepesi ili mfikie kwenye ndoa na muishi hadi mzikane.
Nipe mawazo yako
 
Kwanini watu wapo negative kiwango hiki kuhusu mahusiano, hili lina justify kwamba wanaume wote hawafai? Ama wanawake wote hawafai.?

Comments zote nimesoma hapo juu ni za kukatisha tamaa, yamaanisha hata ninyi mloandika ni wenza wabovu kwa wapenzi wenu, sivyo?

Kwamba haiwezekani watu wawili wakapendana zao kwa dhati, upendo wa kweli usio na mawaa regardless ya wamekutana wapi, hivi haiwezekani kabisa.?
Mwali...
Naomba nikupeleke kwetu....
 
Sie tunachit chat tu hapa. Ukute mtoa mada hata hana mpenzi
 
Nipe mawazo yako
Hakuna mtu aliewahi kufundishwa/kushauriwa/kuelekezwa njinsi ya kufanya ili ufikie/uipate ndoa.
Ndoa ni agano linalo hitaji utayari wa kila mmoja kati yenu ili mfikie malengo yenu.
Ndoa sio Jambo la kuja hapa na kutamba kwamba hamto achana kwasababu eti akina flani walisema nini.....
 
Nafikkiri mngeendelea na mapenzi yenu kimya kimya tu. Sioni haja ya kutaka kuwajulisha wengine kila hatua. Nyinyi si wa kwanza kupendana. Na hamtakuwa wa mwisho.
 
Kwanini watu wapo negative kiwango hiki kuhusu mahusiano, hili lina justify kwamba wanaume wote hawafai? Ama wanawake wote hawafai.?

Comments zote nimesoma hapo juu ni za kukatisha tamaa, yamaanisha hata ninyi mloandika ni wenza wabovu kwa wapenzi wenu, sivyo?

Kwamba haiwezekani watu wawili wakapendana zao kwa dhati, upendo wa kweli usio na mawaa regardless ya wamekutana wapi, hivi haiwezekani kabisa.?
Hii ndo point yangu ya msingi

Wamegeuka wanasema nawaringishia

Hahah
 
Ni Mimi na mpenzi wangu niliempata kupitia jukwaa hili Sasa jamani tushafikisha miezi sita na bado hatujaachana wale mliosema tutaachana mwezi hauishi sijui mna neno gani la kutuambia

#Tushapelekana kwa wazazi
#Tunategemea kuanza maisha muda wowote kuanzia Sasa je tutakuwa tumewahi

Nishawajua nduguze wengi wazazi na ndugu wa Karibu pia Mimi anawajua baadhi ya ndugu zangu

Kipi borA
Ndoa ya kanisani
Ndoa ya serikali
Sogea tuishi??

Faida na hasara KWA Aina ya ndoa utakayoitaja

Tupo tayari KWA ndoa yeyote KWA Sasa Mana tunahitajiana ,sherehe na manjonjo mengi hatutaki Sana kikubwa tunahitajiana sisi tu.

Refer ✓
He has done so much for me, I can't tell it all. Narekelema
Narekelema maana yake nini?

Ina ina sound kichaga.
 
Kwanini watu wapo negative kiwango hiki kuhusu mahusiano, hili lina justify kwamba wanaume wote hawafai? Ama wanawake wote hawafai.?

Comments zote nimesoma hapo juu ni za kukatisha tamaa, yamaanisha hata ninyi mloandika ni wenza wabovu kwa wapenzi wenu, sivyo?

Kwamba haiwezekani watu wawili wakapendana zao kwa dhati, upendo wa kweli usio na mawaa regardless ya wamekutana wapi, hivi haiwezekani kabisa.?
hata hawamaanishi ni utani we umechukulia serious.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom