Hazina yasimamisha pesa ya miradi mipya ili kuokoa ajira ya JK na CCM serikalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hazina yasimamisha pesa ya miradi mipya ili kuokoa ajira ya JK na CCM serikalini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rutashubanyuma, Oct 5, 2010.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,345
  Likes Received: 418,711
  Trophy Points: 280
  Habari za uhakika zilizonifikia hivi punde, Hazina imesimamisha miradi yote mipya ili kuelekeza fedha hizo katika kunusuru ajira ya JK na CCM serikalini ambayo hivi sasa inapumulia kwa mashine.

  Watendaji serikalini wamepigwa na tafurani kutokana na mkasa huo na hivi sasa wengi wanaomba likizo maana wanadai hawana kazi za kufanya.............Ama kweli mfa maji hata jani atakamata.................................................
   
 2. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  Mbona hiyo imetoka na ina muda mkuu, kwa wafanyakazi wote wanaofanya kazi za kutembea mbali na kituo chao cha kazi wameshaambiwa kuwa perdiem zao watazidai na zitalipwa baada ya uchaguzi
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Ndg zangu,

  Ni kweli nami nimepata nyepesinyepesi kutoka kwa mtani wangu mmoja ambaye ni mtumishi wa Wizara moja nyeti sana kwa huduma za kijamii. Eti tangu bajeti ipitishwe mwezi Julai 2010 hadi sasa hakuna shughuli yoyote ya maendeleo inayofanyika. Maafisa wanasoma magazeti tu ofisini na kula mshahara wao ulioongezwa hivi karibuni. Huo ndio utawala wa Serikali ya kifisadi ya bw. jk. Wakati wa mhe. Mkapa nchi haikuyumba kiasi hicho.

  Mnaonaje wenzagu, hii si dalili njema kwa wakati muafaka. Tufanye maamuzi kwa mpigia Dr. Slaa aingie ikulu anyoshe mambo.
   
 4. S

  Safre JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 240
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kumbe ndo maana na mikopo itachelewa hawa jamaa
   
 5. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #5
  Oct 5, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  daaah ama kweli kule serikalin watu wanafanya kazi kiwa mazoea, kwahiyo JK na wadau wake wanakomba pesa za kazi, sasa watatekelezaje mipango ya maendeleo.
  niliwahi kufanya kazi kidogo miaka ya 1980, yalinishinda, nikaacha kazi.
   
 6. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mpya kuliko zote...Serikali imeenda likizo
   
 7. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  hii ni kweli kabisa, kimsingi tangu july hakuna kinachoendelea kwenye wizara zote, OC za kila mwezi zinazopelekwa wizarani zinatoka kiduchu za kudeal tu na emergencies lakini pesa za kazi hakuna kabisa. yani watu wako holiday tu. Pia hata bohari ya mafuta inayojaza magari ya serikali ni nyeupe, yani hakuna mafuta, maana mafuta yote yameshushiwa sea view kwa ajili ya magari ya ccm kujaza mafuta, kwa ufupi kila kitu kimesimama serikalini hadi baada ya uchaguzi. hii ndo nchi yenu wapendwa.
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Oct 5, 2010
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Yaani hali ni mbaya katika ofisi za serikali. Hivi sasa kazi hazifanyiki, karatasi tu za kuandikia barua hakuna! kweli nchi iko ktk hali mbaya!
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  KInazidi kuumana!
   
 10. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #10
  Oct 5, 2010
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Kuna ukweli wowote humu ndani au ndio stori za vijiweni tu maana kwa wengine mshiko uko kama kawa ila tu tuliahidiwa nyongeza ya mishahara na JK hatujaiona hadi leo sasa sijui kama hii taarifa ni kweli au uongo
   
 11. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #11
  Oct 5, 2010
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  wafanyakazi wameongezwa mishahara kuna afisa mmoja nilikuwa naongea nae akasema yeye ameongezwa tzs 200,000 lakini akasema hadanganyiki maana hiyo pesa ni haki yake na akaenda mbali kwakusema kura yake, ya mke wake, watoto wake na mama yake ni kwa Dr Slaa..
   
 12. u

  urasa JF-Expert Member

  #12
  Oct 6, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukiyaambia yaongeze mishahara kwa manesi na walimu yatakwambia hakuna pesa
   
 13. WA MAMNDENII

  WA MAMNDENII JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2010
  Joined: Jun 5, 2010
  Messages: 310
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jamani october 31 hima hima slaaaaa
   
 14. akashube

  akashube JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2010
  Joined: Dec 24, 2009
  Messages: 411
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kuna waraka mpya unaohusu matumizi yaliyopitishwa tayari kwenye bajeti, ambapo isingekuwa kosa kisheria kuendelea nayo lakini hata ukiombea pesa kwa sasa hutapata.

  Na serikalini ukishapita waraka wa namna hiyo hata kama ni wa kipuuzi hakuna kuhoji ni kutekeleza vinginevyo 'future' yako inakuwa kwenye mtungi wa bomu.

  Kuna jamaa humu wana huo waraka japo umeandikwa 'confidential' lakini watu wanajipepea nao kufukuza inzi bar huku wakishushia na bia bariiiiidi. Tuma muhudumu tu anakuletea, ila usiubandike hapa....hautusaidii....hakuna jipya....'there is nothing confidential in that confidential.
   
 15. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2010
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,219
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  sasa kuna kawaida hapo?
   
Loading...