Hazina mtulipe haki yetu sisi wastaafu

koryo

JF-Expert Member
Jun 21, 2010
639
278
Sisi wastaafu tumekuwa tukipata Pensheni zetu kila mwezi bila matatizo yeyote lakini kwa mwezi wa Februari,2016 hatujapata PENSHENI zetu.

Ifahamike kuwa sisi WASTAAFU hatuna kazi yeyote ni hii Pensheni ndiyo tunaitegemea kwa maisha yetu ya kila siku.

Sisi hatuhusiki na majipu ila tunataka haki yetu.
 
Back
Top Bottom