Hazina International na wenzie Kesi yao imeishia wapi?

Mzingo

JF-Expert Member
Nov 2, 2014
4,259
9,176
Mjini mipango,ukiwa uko vizuri kuna walio vizuri zaidi yako.
Pamoja na uwezo mkubwa kimpira ilio nao Juventus kule Italy,ilithibitika kuwa ubingwa wa 2007(6?) Ni ilikuwa inahonga marefa kupata upendeleo uwanjani. Wakashushwa daraja mpaka walipopanda Tena na kuwika.
Kwa hiyo pamoja na mtukuwa vizuri hakumzuii kujiongeza.
Mtihani was la Saba 2018 Hazina na wenzie wenye afya walidakwa kwa kujiongeza,sio kuwa watoto hawako vizuri hapana,wapinzani wao wako vizuri pia. Watoto walitungiwa mtihani upya ,sijui ikawaje.

Naulizia tu walipopelekwa mahakamani updates zikoje?
 
Write your reply... Serikali Kupitia Wizara Ya Elimu Lazima Iweke Sheria Madhubuti Kwa Udanganyifu, Wadogo Zetu (baadhi) Hawatakag Huu Upuuzi Ila Haina Jinsi Wanapewa Majibu Matokeo Yake Wanafungiwa, Sheria Engewajibika Na Wanaotoa Majibu Tu, Na Siyo Wanafunzi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom