Habari za chini ya kapeti zinaelezwa kuwa Ofisi ya Bwana Mkulo haina fedha. Imefulia na hali ya nchi kifedha ni tete.
Wakati huo wahisani hawana habari na wala hawataki kusikia nchi iliyotumia mamilioni ya pesa kutundika mabango ya kampeni ya JK, kuchakachua matokeo na upuuzi mwingine uliogharimu mabilioni ya pesa za kodi za wananchi eti leo inalia njaa.
Habari ndiyo hiyo.

Naomba niamini hii kama taarifa na sio tetesi kwa sababu moja hii hapa Chini.
Hivi majuzi nimesikia serikali itawalipa watumishi wake dirishani ili kubaini watumishi hewa!
MY TAKE:
Hazina itakua haina hela za kutosha so wameamua kupunguza zigo la kulipa na watumishi hewa, Kumbe walikua wanajua kuna watumishi hewa wanakujla mshahara?
Mkiona hivyo jueni kweli fungu la mshahara hautoshi. Nawashauri mtakaolipwa dirishani muwahi foleni kwasababu unaweza kuwa kwenye foleni ukasikia mapesa yameisha.
SWALI:
Hivi hzi foleni zitakua ndefu kama zile za NMB mwisho wa Mwezi?
Mungu anaipenda tanznaia na sasa anataka kuikomboa.kama Mungu amepanga kuifuta serikali ya jk basi kila mti utateleza hawataweza kukimbilia popote. Hatakama watu watavumilia shida zote ngumu Mungu bado atashuka na mapigo ambayo hamtaweza kuvumilia zaidi bali mtatii kuingia barabarani kuiong'oa serikali. Tuombeni Mungu ili mapenzi yake yatimie.
Kwani wao ni kina nani mpk wawe wanakiuka taratibu za kibajeti??Nasikia JWTZ huwa wakihitaji hela wanaenda TRA moja kwa moja kuzichukua, hawasubiri hazina wala wizarani!
Wfanyakazi wa serikali si huwa wanalipwe tarehe 40, sasa hivi hawawezi kujua kama mshahara utakuwepo au? mpaka ikifika tarehe 40 Februery ndipo wataweza kujua kama mwezi huu wamejitolea.Haya mnaolipwa na serikali mbona mko kimya? si ndio tarehe zenyewe hizi? tujuzeni tujue jinsi ya kujibana ili tugawane tulichonacho