Hazina Haina Mpunga. Imefulia. Inapumulia Mashine

Kumbe ndo maana serikali/utumishi imegoma kutangaza ajira mpya! Tangu nov.,wakasema Jan.na leo jan.inaisha wote kimya. Serikali inatoa machozi safari hii.
 
hii kitu inaukweli..leo katika pitapita zangu nilibahatika kukutana na branch manager tawi moja la NMB akilumbana na mhasibu wa halmashauri aliyetaka kujua kulikoni mbona pesa za mishahara haipo na account inasoma negative? majibu aliyompa ndio yaliyonifanya niamini kwamba kile nilichokisoma humu kwenye jamvu ni kweli...alimwambia Account ya same iterm Hazina ndogo iko nil sembuse yako ya halmashauri..hii ni hatari.
 
Kwa hiyo kama benki waliruhusu akaunti ikawa na Overdraft, serikali sasa wanasema mishahara ni cash dirishani, inawezekana benki hasa NMB ikayumba kibiashara?
 
WAna JF , kuna uvumi kuwa HAZINA IMEKAUKA, na BUDGET ZILIZOPITISHWA ZINATAKIWA KUKATWA KWA ASILIMIA NYINGI. Hizi taarifa zimezagaa kila kona nchini......Je, watoto wetu watasoma tena wakati tunalipa ada kwa installments? Je, familia zetu zitaendelea kuwepo?

tafadhali mwana jamii yeyote mwenye news atujuze.

Serikali yote ni ya kufukuza kazi. Wamekomba pesa zote toka hazina kwenda kufanyia kampeni za uchaguzi wa 2010. On top of that bado wanataka kumlipa fisadi Rostam $69m na wale wahuni wa RITES $87m! Wameishafilisi nchi na hali itazidi kuwa ngumu zaidi. Sasa ni kufanya kampeni nchi za wafadhili zisitoe hata senti tano kwa hii Serikali ya kifisadi.

Mungu anaipenda tanznaia na sasa anataka kuikomboa.kama Mungu amepanga kuifuta serikali ya jk basi kila mti utateleza hawataweza kukimbilia popote. Hatakama watu watavumilia shida zote ngumu Mungu bado atashuka na mapigo ambayo hamtaweza kuvumilia zaidi bali mtatii kuingia barabarani kuiong'oa serikali. Tuombeni Mungu ili mapenzi yake yatimie.
 
Wazee, kaka yangu ninayemfuata yupo serikalini kwenye wizara ambayo kwa kawaida miezi hii huwa anakubwa busy sana na kazi za ofisi. Ni mtu anayesafiri mara kwa mara mikoa mbalimbali kukagua miradi. Lakini tangu mwezi Julai mwaka jana amesafiri mara moja tu na mbaya zaidi alijikopesha yaani alitumia fedha yake na aliporudi aliomba arejeshewe fedha yake. Ilimchukua miezi minne kupata malipo yake ya sh. 640,000. Ukweli ni kwamba wizara karibu zote zipo domant. Hakuna kinachoendelea.

Hayo ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania.
 
wazee waljua kupaaaa tu nje ya nchi bila kujua kuzalisha; waliiba mabilioni kwenye uchaguzi kwa ajili ya chama chao ccm sasa hali ndo hiyo
 
pengine ni mbinu ya serikali kuongeza awareness kwa watumishi wake juu ya umuhimu wa kuwa na matumizi ya kiasi!... eventually pesa itatoka tu!
 
Sasa zile meli tulizoahidiwa kule nyasa, Tanganyika na Victoria ndi inakuwaje?
Not to mention ile studio ya kisasa ya kurekodi kazi zoote za sanaa za wanamuziki wa Bongo Flavor walizoahidiwa wakati wa kampeni na JK?
 
hii kitu inaukweli..leo katika pitapita zangu nilibahatika kukutana na branch manager tawi moja la NMB akilumbana na mhasibu wa halmashauri aliyetaka kujua kulikoni mbona pesa za mishahara haipo na account inasoma negative? majibu aliyompa ndio yaliyonifanya niamini kwamba kile nilichokisoma humu kwenye jamvu ni kweli...alimwambia Account ya same iterm Hazina ndogo iko nil sembuse yako ya halmashauri..hii ni hatari.

Haya basi mchango mchango mchango kwa wafanyakazi wote waisaidie serikali kuilipa Dowans na inayobakia iende hazina.

Zamani tulikuwa tunachangia ujenzi wa makao makuu Dodoma na mengine mengi kwa hivyo hiyo spirit tuendelee nayo hivi sasa.

HE MUSIJE KUNIRUSHIA MABOMU BY REMOTE CONTROL!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ndo hapo watakapotuambaia wamepata wapi hela ya kuwalipai DOWANS while the're is nah money hazina..! Na sie kazi hatutafanya..! Wamesahau mziki wa tucta....! huu wa sasa ndo utawakimbiza ikulu ngoja wathubutu waone...!!:A S-fire1:
 
Lisemwalo lipo au la weza laja.
Bei zimepandishwa kufidia mabonde.
Ilizoeleka kuchotwa kabla ya uchaguzi toka kwenye mabenki na kuidhinisha malipo hewa kama EPA , mwaka jana CCM iliingia mifuko ya RA /El etc sasa wana haha kurudisha . Wakataka kufidia mapema. moto ndio huo. Mabenki hakuna aliyetari kuweka sign, kwa sababu Watanznia wa leo wamechoka, ndiyo maana ya kuvujisha siri kila mara. Hakuna anaye amini kwamba ndani ya nchi kuna siri.
Milango imefungwa. Imabakia Milango ya Hifadhi za Taifa ndiyo Kimbilio.
Wadau wa chunguzi dodoseni kama malipo halali ya hifadhi zetu. yanafika mahali sahihi.

CCM ime kula kwenu mtakufa kifo cha mende.
 
heala kamaliza JK kuweka vocha kwa ajili ya kutuma meseji

Tehe tehe! Cheap politics,sms za ukabila na udini,eti Dr Phd Slaa ni mgomvi,atamwaga damu,ana ukanda n.k...
Mkapa alijitahidi kujenga uchumi,barabara n.k. Jk yuko bize na kujenga udini.Cheap popularity very danger tuwe makini kwenye katiba mpya,kampeni za uraisi zizuie cheap popularity alafu mdahalo wa wagombea uaraisi ni lazima.
 
Another opportunity for Chadema! au mnasubiri ballot box 2015?? chance hiyo, pelelezeni, mmoja wenu ajitayarishe kuingia Ikulu, kuna kila dalili, harufu na uwezekano wa TUNISIA mkijipanga, polisi wetu, jeshi letu, woga wa nini??
 
Back
Top Bottom