Hayo Mambo Ya Kupekenyuana Mtakuja Mfe..

STUNTER

JF-Expert Member
Dec 15, 2015
13,077
17,205
Nimemkuta rafiki yangu analia kama mtoto mdogo
chumbani kwake;

MIMI: Oya mshkaji vipi tena nani kafa?

MSHKAJI: Yaani Doreen kaniuwa, hivihivi bila kosa
kaniuwa

MIMI: Hebu tulia nambie ishu nzima
MSHKAJI: Si unajua nimekuwa namlipia Doreen ada
toka sekondari mpaka sasa yuko chuo nikijua ndio
niko peke yangu na nitamuoa?

MIMI: Ndio

MSHKAJI: Jana nikataka kuangalia kanisevu nini
kwenye simu yake
MIMI: Ok

MSHKAJI: Si kanisevu eti Mchungaji Peter 12

MIMI: Sasa tatizo liko wapi

MSHKAJI: Nilipoangalia majina mengine sinimekuta
kuna Pasta Maige, Pasta Jay wa misimo, Askof edwin,
na kuna Mchungaji Peter 1 mpaka mimi wa 12, wakati hata siku moja haendi kanisani wala maombi

MIMI: Dah endelea kulia mwanangu
 
Ukitaka kuugua magonjwa yasiyoambukiza na kuua kwa haraka ---

SOMESHA MCHUMBA
magonjwa hayo ni kama
-Tezi dume
-Blood pressure
-Mtindio wa ubongo
-Kupungua kwa nguvu za kiume
-Kupungua kwa uzito
-Kuzimia zimia
-Kuwa Ndondocha
-Kifo cha ghafla
 
Kila siku humu tunasema mchumba hasomeshwi naomba kuanzia sasa iwe kauli mbiu hii
MCHUMBA HASOMESHWI ENYI VIUMBE.
 
Usimsaidie mtu kwasababu unataka kumuoa kama unafanya kwa msaada tu sawa
 
Ukitaka kuugua magonjwa yasiyoambukiza na kuua kwa haraka ---

SOMESHA MCHUMBA
magonjwa hayo ni kama
-Tezi dume
-Blood pressure
-Mtindio wa ubongo
-Kupungua kwa nguvu za kiume
-Kupungua kwa uzito
-Kuzimia zimia
-Kuwa Ndondocha
-Kifo cha ghafla
Mpaka Msoga?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom