Hayawezekani kwa uzima!!! Lazima wawe vichaa/ walemavu wa akili !!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hayawezekani kwa uzima!!! Lazima wawe vichaa/ walemavu wa akili !!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KAPERO, Aug 11, 2010.

 1. KAPERO

  KAPERO Member

  #1
  Aug 11, 2010
  Joined: Jul 18, 2010
  Messages: 46
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakika haiwezekani ntu mwenye uzima afanye miujiza ya aina hii. kumtambia mke kwa kimada. na kama akiwepo mke anafanyiwa hivyo akakubali madudu hayo lazima akachunguzwe akili kwanza. na kimada wa hivyo pia naomba akachunguzwe.

  hakika ndoa inatisha kuliko mahakama ya raiya wenye hasira kali tena wenye sheria mikononi mwao.. nasema hivyo kwa vile nimewahi kushuhudia sakata za fumanizi za wapezi,,wangekua na ndoa naamini lazima wange uwana. sasa iweje wenye kuvumiliana kwa hali hiyo tuwaone kuwa ni wazimaa!!!???
   
 2. Magulumangu

  Magulumangu JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 3,040
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mbona kama sielewi unataka nini mkuu,ni hoja,swali au unaelekeza mkuu?au uelewa wangu mudogo wajameni?mwanawane makiswahili hayanaga mwenyewe gete...
   
 3. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #3
  Aug 12, 2010
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Punguza jazba Mkuu, :A S angry::A S angry:
   
 4. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #4
  Aug 12, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Pole sana kaka, ndo ukubwa huo. Vumilia
   
 5. Hebrew

  Hebrew JF-Expert Member

  #5
  Aug 12, 2010
  Joined: Jul 3, 2008
  Messages: 509
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 45
  Bro tafakari unayosema na kula pweza!!
   
 6. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #6
  Aug 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  mKUU NAONA KAMA UMECHANGANYIKIWA... HEBU WAHI HOSPITALI WAKUPE DAWA ZA KUTULIZA KICHWA HALAFU UJE KU-EDIT,

  POLE AISEE MAPENZI YANAUA
   
 7. r

  rachel kusia Member

  #7
  Aug 12, 2010
  Joined: Mar 7, 2008
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mke anastahili kuheshimiwa. Kwanza na huyo aliyemwoa pili kwa jamii nzima inayomzunguka. Heshima ya mke inapatikana kwa mume wake.
   
Loading...