Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 8,847
- 15,252
Kuna muda nilikosaga usingizi miezi miwili yaan usiku na mchanain deed, japo kuna shida hapo aliposema inasemekana Sokoine hakuwa kulala hata siku moja wakati wa vita.
kwa nijuavyo, binadamu akikosa usingizi muda mrefu anaanza kupata matatizo mfano maluwe luwe nk, na hayupo binadamu ambaye hajalala mwaka na zaidi, unakufa ikitokea umekosa usingizi muda mrefu sana.
uzi ni mzuri lakini