Hayati Mzee Mkapa katika kitabu chake alikiri kuteleza katika Ubinafsishaji. Nategemea Mzee Mwinyi atakiri kuteleza katika Rushwa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Nisipokuta sehemu yoyote ile katika Kitabu anachoenda Kukizindua Keshokutwa (Jumamosi tarehe 8 May, 2021) Rais Mstaafu Mzee Mwinyi amekiri kuwa Awamu yake ndiyo 'Baba wa Rushwa' nchini Tanzania sitokinunua na nitakipuuza pia.

Mwenzake Rais Mstaafu (sasa Hayati) Mzee Mkapa nae katika Kitabu chake alichokizindua alikiri wazi wazi kuwa katika Uongozi wake aliteleza katika Suala zima la Ubinafsishaji na hata Kutuomba Radhi Watanzania na tukamuelewa na hata Kukinunua kwa wingi tu.

Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan tafadhali ukitoka tu katika Hafla hiyo ya Kuzindua Kitabu cha Rais Mstaafu Mzee Mwinyi wahi Uwanja wa Mkapa ukashuhudie Timu yako pendwa na ya Mumeo Hafidh Ameir ya Simba SC inavyoenda 'Kumuua' Mtu ili atuheshimu Milele na washike Adabu zao.
 
Kufanya makosa au kushindwa kutoa uongozi thabiti kwa Rais kusiitwe "kuteleza"
 
Back
Top Bottom