Hayati Mwl Nyerere: Chama Cha Mapinduzi kina kansa ya uongozi ambayo isipotibiwa itakiua Chama kizima

Hoja yangu ni kwamba huyo mwalimu anasoma hili andiko? Yeye kwanza ndiyo ameharibu chama chetu Cha mapinduzi
Acha kuuliza 'rhetorical question(s)' wewe..kwasababu hakuna utakacho-achieve.

Haya, ndiyo Mwalimu anasoma hili andiko.
 
Yeye alishindwa nini kutengeneza chama imara wakati yupo madarakani?
Hakushindwa. Nimeshasema alitoa maonyo lakini waliokuwepo madarakani kipindi hicho wakashupaza shingo. Yeye angefanya nini wakati hakuwa madarakani? Angewalazimisha?

Now I have come to a conclusion that EVEN COMMON SENSE IS NOT COMMON.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom