Hayati Magufuli: Nimejitoa maisha yangu kwa ajili ya Watanzania masikini

..usimung'unye maneno.

..walichomfanyia Lissu sio ujeuri, ni unyama, ukatili, unyang'au.
Aliyoyafanya Lisu wewe unayajua???

Alifanya uhuni ambao ulistahili alichopata, magu ayupo Leo mbona kakatilia huko kwa waliokuwa wanamtumia kufanya uhuni.

Nchi yoyote chini ya jua ukilete uhuni wanakuminya kwanmna itakavyowapendeza
 
Uhuni upi alifanya ambao haukustahili kushughulikiwa na mahakama zaidi ya kushughulikiwa na wahuni wengine kwa kutumia bunduki?...
 
Tundu Lissu alilitumia suala hilo kisiasa zaidi.

Kwa mujibu wa hayati JPM mwenyewe vitambulisho hivyo vilikuwa na alama ya siri ambayo ni TRA pekee waloweza kuziona.

Na ndo maana hakukuwa na haja ya kuchapisha kila kitu mbele yake namba tu ilitosha.

Sasa kama TRA walihusika pia katika ubunifu huo wa vitambulisho hivyo, kwanini wasiulizwe na TRA tunao?

Msikilize hayati JPM hapa:

..Na vilikuwa vinauzwa bila wananchi kupewa risiti!!

..TRA huwa wanatoa huduma bila kutoa risiti?

..kitambulisho halali huwa ni cha mtu mmoja tu.

.. Lakini hicho "kitambulisho" kinaweza kutumika na mtu zaidi ya mmoja.
Aliyoyafanya Lisu wewe unayajua???

Alifanya uhuni ambao ulistahili alichopata, magu ayupo Leo mbona kakatilia huko kwa waliokuwa wanamtumia kufanya uhuni.

Nchi yoyote chini ya jua ukilete uhuni wanakuminya kwanmna itakavyowapendeza

..kosa kubwa kupita yote dhidi ya nchi yetu ni njama za uhaini.

..Na ili uhukumiwe ni lazima ufikishwe mahakamani.

..Kwa taarifa yako Tanzania imewahi kuwa na kesi walau 3 za uhaini na ziliamuliwa mahakamani.

..kama Lissu alikuwa amefanya makosa alitakiwa afikishwe mahakamani ili apate anachostahili.

..kama watetezi wa Magufuli wameshindwa kueleza kosa la Lissu na kuhalalisha jaribio la kumuua muda wote huu, itoshe kusema Lissu hakufanya kosa lolote.
 
..Na vilikuwa vinauzwa bila wananchi kupewa risiti!!

..TRA huwa wanatoa huduma bila kutoa risiti?

..kitambulisho halali huwa ni cha mtu mmoja tu.

.. Lakini hicho "kitambulisho" kinaweza kutumika na mtu zaidi ya mmoja.

..kosa kubwa kupita yote dhidi ya nchi yetu ni njama za uhaini.

..Na ili uhukumiwe ni lazima ufikishwe mahakamani.

..Kwa taarifa yako Tanzania imewahi kuwa na kesi walau 3 za uhaini na ziliamuliwa mahakamani.

..kama Lissu alikuwa amefanya makosa alitakiwa afikishwe mahakamani ili apate anachostahili.

..kama watetezi wa Magufuli wameshindwa kueleza kosa la Lissu na kuhalalisha jaribio la kumuua muda wote huu, itoshe kusema Lissu hakufanya kosa lolote.
Kuendelea kwa Tundu Lissu kuishi Belgium ni kielelezo tosha kwamba hakushambuliwa kwa maagizo ya hayati JPM.

Tundu Lissu alishambuliwa na wahuni na wenzao walio katika system katika kile kitu "kumchafua hayati JPM", hao huitwa "rogue elements within the security services and agencies".

Huo ndo mtazamo wa wafuatiliaji makini walo ndani na nje ya Tanzania.

Kama Lissu alishambuliwa kwa maagizo ya hayati JPM basi tayari angekuwa amerudi Tanzania.
 
..Magufuli alituma watu wamshambulie Lissu.

..Kama wangekuwa ni wahuni angewakamata bila kuchelewa.

..Huwezi kusema Lissu yuko salama bila kuwakamata waliotumwa kumuua.
 
That's sarcasm.
Yeye ndio alikuwa anatudhihaki kusema amejitoa muhanga.

Anatembea na platuni mbili za makomandoo, analishwa the most exquisite food available in Tanzania, anapewa the best medical care of all, anaogopwa na kila mtu mpaka marais wastaafu, wazungu wa BARICK wanatoka Canada kuja kumsujudia...

Amejitoa maisha yake, amejitoa kivipi ????!
 
Hii nchi inahitaji mtu Katili, ili kuweka mambo sawa.
Huwezi kuwa unajiamuria tozo kila kona ambazo zina muathiri mtu wa chini direct kiasi hiki.
Kama tunadhani kubembeleza ni njia ya utawala na ndio demokrasia sio kweli.
Nchi za magahribi na US wananyonya nchi za Afrika bila huruma na kuziacha maskini huku wakituimbisha demokrasia ni uhuni, sisi na watawala wetu tutaingia kwenye rekodi ya kuwa wajinga kuliko Mangungo wa Msowelo.
Wanahitajika viongozi kama Kinje kuwaaminisha watu risasi zitakuwa maji hata kama sio ilimradi wafe lkn wakipambana kuliko kufa kiboya.
Vita ya JPM haikuwa rahisi kwa sababu wengi wetu ni wezi wa mali za umma na vibaraka wa wanyonyaji.

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Kama kweli wapinzani walinunuliwa na CCM na ikathibitika hivyo ni wajibu wa CCM kuwashughulikia iwapo wana nia ya kweli ya kujitenga na utawala wa JPM.

Hata vyama vya upinzani kwa kukaa kimya hiyo ni "conspiracy "
CCM hawawezi kuwashughulikia wale waliokubaliana nao awali, unatakiwa useme CCM wanatakiwa kushughulikiana wao kwa wao kwa upotevu wa pesa za walipa kodi.
 
Ukileta hoja yeyote ya kumsifia JPM wapinzani wake watakuja na vihoja vyepesi vyepesi visivyo na ushahidi kukupinga kama unabisha wewe fuatilia comment humu.

Wakati wewe unaweka ushahidi wa mambo mazuri aliyoyafanya na yanaonekana kwa macho wao watakuja na hoja kuwa alinunua wapinzani au aliuwa upinzani, eti hizo nazo ni hoja sasa kama upinzani ni taasisi imara kwa nini watu wao wanunulike? Je tukiwapa nchi akaja tajiri mmoja hawezi kuwanunua kweli.
 
Wote tunapenda afya njema, Amani na upendo pamoja na Uhuru wa kujieleza.

Ndani ya Serikali, awamu ya tano wote tulikubaliana kuwa tutaishi na corona, kama magonjwa mengine. Kwamba atujui hili gonjwa litaisha lini na viongozi mbali mbali walikua mstari wa mbele kutuaminisha kwamba tumeishinda Corona na kwamba mabeberu awana nia nzuri na sisi akiwemo "RAISI SAMIA".

Jambo la kusikitisha Tanzania, raisi wa awamu ya 6 alipo ingia madarakani takwimu za corona zimeanza upya. na hawa ndiyo wale walio kuwa mstari wa mbele kutuaminisha akuna corona.
nukuu ya shirika la fedha duniani. (IMF) "tutaipatia Tanzania million500 ikikamilisha masharti ya corona, lock down, takwimu, pamoja na chanjo".
Ni wazi Viongozi hawa hawa bila aibu, wame kubali kutuuza wananchi kwa sababu ya hela.

Nukuu ya Rais wa Marekani Trump " siwapendi watu weusi, kwa sababu ukimpa hela yupo tayari kumuuwa mwenzie".
Corona ni (infinity), aina mwisho aina dawa Akuna chanjo iliyo saidia hadi sasa.

MAGUFULI, anakwambia " nime jitoa maisha yangu, kwaajiri ya watanzania".
Ni Mimi na wewe kusimama na MAGUFURI,atujui madhara ya chanjo yata tokea baada ya miaka mingapi ukichanjwa.

MAGUFURI "mtanikumbuka kwa mazuri".
Atujui kwa nini mashirika ya fedha, yana lazimisha lock down.
Sikatai chanjo kwa sababu imetolewa na beberu, nakataa kwa sababu sina imani nayo na aiwezi kunizuia na kifo.

"NIME JITOA MAISHA YANGU, KWAAJIRI YA WATANZANI MASKINI", HAYATI MAGUFURI
View attachment 1876933View attachment 1876934

View attachment 1876935

View attachment 1876937
1662265202014.png

Chini ya utawala wake:
  • Watu wengi walipotea, waliuawa na maiti ziliokotwa kwenye fukwe zikiwa kwenye viroba.
  • Mwanasiasa wa upinzani Tundu Lissu alipigwa risasi akiwa makazi ya viongozi yanastahili kuwa na ulinzi 24/7. Hakuna uchunguzi uliofanywa kuwabaini wahusika wa tukio Hilo.
  • Ben Saanane, alisema PhD ya mh. haikuwa hali, akapotea mpaka leo haijulikani yu hai au amekufa. Hakuna uchunguzi uliofanywa.
  • Watumishi wa imma walinyimwa stahiki zao.
  • Matajiri waliahidiwa kuishi kama mashetani- wengine wakadhulumiwa pesa zao, wengine wakapewa kesi zauwongo za uhujumu uchumi. Wengine walikufa ma wengine walihamisha mitaji yao.
Mh. alikuwa na kauli ambazo hazingestahili kutoka kwenye kinywa Cha mkuu wa nchi dhidi ya raia. Eg. laleni na mavi yenu, serikali haitasomesha wazazi (malaya?)- kwa maana ya wanafunzi waliopata mimba, mliochagua wawakilishi wa vyama vya upinzani sahauni habari ya maendeleo etc, etc.
M/Mungu awakumbushe viongozi wetu kuishi kiadilifu hapa duniani.
 
Nafikiri lengo lilikuwa ni kusiwepo na vizuizi dhidi ya agenda ya "Hapa Kazi Tu" watu wapige kazi kujitafutia maendeleo yao na walipe kodi.

Ukianza kuweka mikutano isokwisha kila wakati basi wazuia jitihada hizo za "Hapa kazi Tu", yaani watu wasiende kwenye shughuli za kiuchumi zenye kuleta tija na kadhalika.

Lilikuwa ni lengo zuri lakini liloingiliwa na wengine wenye agenda zao za kuharibu.

Hakika hiyo ilileta msuguano na wabaya wetu wakapita humo.

Ni kama shetwani, akiona mahala pana fursa huchekelea kwelikweli na kurukaruka kwa furaha.

Nchi zote zilioendelea tayari hawana mikutano ya kila mara ya kisiasa au matamasha yasokwisha, kila kitu kimepangwa kulingana na msimu.

Shughuli za kiuchumi zapaa na idadi ya walipa kodi yaongezeka kwani ukiwa na idadi kubwa ya walipa kodi wanotambulika kama milioni kuanzia milioni 20 na kuendelea basi weye huna shida kiuchumi.

Marekani ina walipa kodi milioni 143 kati ya idadi yake ya watu milioni 331 (2020) na UK ina milioni 32 kati ya watu wake milioni 67 (2020)

Labda nikuulize, Tanzania ina walipa kodi wangapi?
Haya uliyoandika yanahalalisha kuzuia vyama pinzani kufanya siasa wakati ccm wakiendelea na siasa? Hukuona mikutano ya ndani ilvyokuwa inavamiwa na policcm? K/mkuu wa ccm anavyozurura nchi mzima kufanya siasa, ina maana wanaccm wenyewe hawastahili kufanya kazi?
Acheni unafique na uchawa uliopitiliza.
 
Kwahiyo ndani ya miaka 6 ya utawala wake aliweza kuuondoa umaskini mikononi mwa hao wanyonge?
Msilete mambo yenu ya kiwendawazimu. Magufuli ndiye aliyeufungulia umaskini kwa Watanzania wengi. Samia ndo anajaribu kuutoa huo umaskini mikononi mwa Watanzania lakini itamuia vigumu kutokana na misingi aliyoiacha Magufuli.
Magufuli ulaaniwe zaidi
Wewe umenena sawa ila ni watanzania wachache watakuelewa vizuri
 
..amejitoa kitu gani?

..alikuwa wapi tangu 1997 wakati Lissu akitetea hayo madini mpaka 2017 ndio aje na ripoti za uongo?

..utetezi gani wa rasilimali unafanywa kwa kutoa ripoti za uongo, kuhadaa wananchi, na kuua raia wako mwenyewe?

..kama ni utetezi mbona aliachia usd billion 190 akakubali kishika uchumba cha usd 300 million. Na bado akakubali kulipwa kidogo kidogo?

..Magufuli alitamani heshima na rekodi ya Tundu Lissu, na aliamini kwamba hawezi kuipata bila kumuua.

maKu
 
Wewe umenena sawa ila ni watanzania wachache watakuelewa vizuri
Yule mzee ni mwehu sana
Mimi namjua kuliko wengi ambao wanamsifia humu.
Naijua familia yake na nimewahi kufanya naye kazi wizara ya ujenzi.
Anayetaka siri za Jiwe aje pm ninechoka kuzitunza
 
Yule mzee ni mwehu sana
Mimi namjua kuliko wengi ambao wanamsifia humu.
Naijua familia yake na nimewahi kufanya naye kazi wizara ya ujenzi.
Anayetaka siri za Jiwe aje pm ninechoka kuzitunza
Mungu alitenda Kwa Mapenzi yake!! Huenda tungepata shida sana!!!
 
Huyu Mzee alisemaga tutamkumbuka kwa mema na si mabaya inaonekana alikuwa anayajua vizur yaliyokuwa yanatendeka kwa waliomtangulia ambayo yalikuwa hayana afya nzur kwa wananchi wanyonge ni kama haya yanayotendeka sasa
 
Haya uliyoandika yanahalalisha kuzuia vyama pinzani kufanya siasa wakati ccm wakiendelea na siasa? Hukuona mikutano ya ndani ilvyokuwa inavamiwa na policcm? K/mkuu wa ccm anavyozurura nchi mzima kufanya siasa, ina maana wanaccm wenyewe hawastahili kufanya kazi?
Acheni unafique na uchawa uliopitiliza.
Mimi si mnafiki na pia si chawa, na pia si mwanasiasa maana kwa Tanzania siasa ni fani ambayo kila mtu aweza kuingia hadi wasanii.
 
Back
Top Bottom