polokwane
JF-Expert Member
- Dec 16, 2018
- 3,359
- 5,808
Hayo yote ni maneno matupu ya kijipa ushujaaa wakati hakuna chochote hao wa Misri unao wasema sio wenzako hao 68% ya uchumi wa wamisri wanategemea mzungu usijivike ujinga wakati ukweli unaujua, we unaleta maswala ya hapo zamani? Acha ujinga sasa hiyo hapo zamani imeshindwaje kudumu hadi sasa?Usijifanye kunguru mwoga, kwani kabla ya wazungu hakuna nchi ambazo zilikuwa Na maendeleo ya watu Na vitu. Mali, misdi Na nyingine nyingi kabla ya Mabeberu zilikuwa vizuri. Sasa wewe ushatskwa Na wazungu uwezi kutoka Korea ya Kaskazini inaendeshwa Na Mabeberu? Mungu mnasomea nini kama vyuo vipo lakini uwezi hata kutengeneza wemb Na sindano mpaka uagize. Nabii Magufuri Alianza ndogo ndogo kuondoa haya.