Hayati Magufuli na Makonda Mungu atawalipa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,532
44,648
Akili ziliwaongoza sana na mkawa vinara. Shukrani ziwaendee mlipo wengi hawajui ukweli wa mambo kwa sababu hawajatembea bali wanasikia sikia tu kilichokuwepo na ilichotokea.

Nawapongeza sana Magufuli, Makonda, Kassim Majaliwa na Rais Samia suluhu big up
Hutaki acha maisha ya endelee hivihivi. Ila Waziri Aweso nakuomba sana zingatia shida ya maji bado ni kubwa sana vijijini ukiweza kutatua hii shida ndani ya kipindi hiki 2025-2030 tunaweza kukufikiria kukupa urais we piga kazi hasa mikoa yenye shida ya maji.

images%20(14).jpg
images%20(13).jpg
images%20(7).jpg
 
Wafanyieni matambiko huko usukumani Mungu ameshalipa . Madharau kwa viongozi wa dini tena makanisani kuhusu corona, kutaka kuuwa kwa risasi upinzani, ukabila, kusingizia watu kesi.

Tunashukuru Mungu ameshalipa na nchi hii yeyote ambaye atanyanyasa watu kwa namna yeyote mwisho wake utakuwa hivi nchi hii Mungu kaamua.

Ukimpiga mtu risasi asiye na hatia ni sawa na kujipiga wewe
 
Leo siku ya tatu maji jiji la Mbeya hakuna, sasa sijui kama hatawakisambaza maji vijiji vyote kama matokeo yatakua mazuri. Haya tulishaanzaga kuyasahau lakini taratibu naona yanarudi.
 
Akili ziliwaongoza sana na mkwawa vinara shukrani ziwaendee mlipo wengi hawajui ukweli wa mambo kwa sababu hawajatembea bali wanasikia sikia tu kilichokuwepo na ilichotokea.

Nawapongeza sana Magufuli, Makonda, Kassim Majaliwa na Rais Samia suluhu big up
Hutaki acha maisha ya endelee hivihivi. Ila waziri aweso nakuomba sana zingatia shida ya maji bado ni kubwa sana vijijini ukiweza kutatua hii shida ndani ya kipindi hiki 2025-2030 tunaweza kukufikiria kukupa urais we piga kazi hasa mikoa yenye shida ya maji.

View attachment 1985775View attachment 1985776View attachment 1985777
ZUZU@work!!🙄🙄
 
Duuuu hizo pongezi kwa Makonda umezipoteza
 
Akili za Watanzania Matope kweli kweli
 
Makonda alimtongoza Wema akamkataa bifu likaanza akisaidiwa na timu yake wakina Lemutuz.

Sabaya alitaka kumbaka Nandy kwa bunduki kule Hai, akaangukia pua.

Magufuli akampiga mimba mkwe wa Kairuki Anjela, akagonga Jakate, akafukuza Mtera Mwampamba. Akaenda kutongoza wifi wa Anjela pale T.I.C akatolewa nje akamtumbua.

Taifa hili lilikuwa linaelekea Sodoma na Gomora!
 
Back
Top Bottom