Hayati Magufuli bado ni shujaa

Hayo ndo yalikua mapungufu yake ni sawa na wale wengine ambao ni wasomi wazur ila madhaifu yao ni kutukana na kutia aibu taifa ughaibuni
sasa huo idhaifu wake ndio uliomfunga asijue wanamzunguka ni akina nani. lait angekuwa msikivu na kuweka ukarib na watu wake. maybe angeyajua haya mapema wkt wa uhai wake.

tatizo ni kuwa alipenda sifa. hali iliyofanya wasaidizi wake kuwa wanafki ili waende nae sawa.
 
Sawa mkuu lakini sisi ni watanzania vyama vyenu ivo msiviweke mbele nataman tungekua na monoparty tu multiparty inashusha uzalendo
Nani kakuambia nina chama? Nikikuambia sina kadi ya chama chochote utaamini?
Kwa utashi wako wewe unaamini upinzani ni chama na siyo itikadi?
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom