Lord OSAGYEFO
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 3,086
- 4,881
Kwanza nitoe pole kwa Familia ndugu na Watanzania wote kwa Kifo cha Hayati Magufuli.
Kama kichwa cha habari nichukue nafasi kuwashukuru sana Viongozi wa CHADEMA kwa Jinsi Walivyosimama imara dhidi ya Utawala Usio wa Kidemokrasia wa Hayati ambaye alikuwa na dhamira ya Dhati kutoka Moyoni ya kuhakikisha CHADEMA inakufa Lakini Ameshindwa.
CHADEMA imepata misukosuko mingi sana kuliko Chama chochote cha Upinzani katika Utawala wa Magufuli na Watanzania ni Mashahidi ikiwemo ya Vifo, Kufungwa, kutekwa, kusingiziwa kesi Kupigwa risasi kupotea kwa Wanachama na Wafuasi wake kulipishwa mafaini ya ajabu, kupokonywa Ubunge udiwani Umeya n.k vyote hivyo kwa Uonevu.
Wakati yanatokea na kutendeka Kuna Viongozi Wabunge Madiwani na Wanachama wa CHADEMA walionunuliwa au kuhaidiwa na kupewa Vyeo na wakaondoka na wakaikimbia CHADEMA na Kuisaliti.
Kama haitoshi kuna Kundi la Watu 19 limediriki mpaka Kugushi saini ya Katibu Mkuu ili liweze kuteuliwa Ubunge Viti Maalum na CHADEMA kimewafukuza Uanachama lakini Hayati aliendelewa kuwalinda Bungeni huo nao ni Usaliti ndio maana nampongeza Hayati kwani Watanzania hasa CHADEMA wasingejua kule ndani ya CHADEMA kuna Wasaliti ambao iliwaamini na kuwapa Madaraka na Heshima kubwa.Wasaliti hao wapo waliofanikiwa kupata walichoahidiwa na wapo waliokosa baada ya Magufuli kufa.