Hayati Magufuli ameisaidia CHADEMA kuwajua wasaliti wa chama

Mkuu, marehemu ni kabla hajazikwa na akizikwa ni hayati. Kama kuna kamusi nyingine tuhabarishane
KWA KIFUPI SANA LAKINI

Hayati ni neno la kiarabu likimaanisha uhai, kwa hiyo mtu aliyekufa na kuacha Legacy yaani bado kuna vitu alifanya kwa manufaa ya jamii au dunia na bado vinaishi huyu ndiye huitwa hayati kwa maana kafa lakini bado anaishi kutokana na legacy aliyoiacha wala siyo lazima kuwa maarufu au tajiri.

hata Masikini anaweza kuacha Legacy, kwa mfano anaweza kusema ana eneo lake ligeuzwe kujengwa shule au hospitali au kisima au msikiti au kanisa na ikafanyika hivyo huyu ni hayati maana kaacha legacy kile alichokuwa akimiliki pamoja na umasikini wake bado kinaishi na kinainufaisha jamii aliyoiacha.

Mwingine anaweza kufundisha ujuzi vijana na wale vijana wakanufaika na ule ujuzi na ukanufaisha jamii, kwa hiyo elimu yake aliyoitoa bado inaishi na inainufaisha jamii huyu naye ni hayati.

Lakini ukifa na kashfa kibao za ufisadi wa mali, ufisadi wa mapenzi au dhulma au uchawi yaani kifo chako kikaleta nafuu kwa jamii, basi wewe ni marehemu tu huwezi kupewa heshma ya kuitwa hayati.

Kwa hiyo kila mtu ajitathmini kama yeye akifa ataitwa Hayati au Marehemu?

Source: Tofauti kati ya Hayati na Marehemu hii hapa.
 
... kwa tafsiri hiyo ni sahihi wengine wamtambue mwendazake kama hayati na wengine wamtambue kama marehemu forever!
 
Lete ushahidi kuwa utaratibu haukufatwa wala majina hayakwenda tume
Au Labda Wewe ndo uweke ushahidi wa utaratibu kufuatwa hapa! Kwa sababu ushahidi wa utaratibu kukiukwa ulisha ainishwa na kamati kuu ya chama, kupitia katibu mkuu wa chama! Utaahira utakua kukuamini Wewe badala ya Mnyika!
 
Kwanza nitoe pole kwa Familia ndugu na Watanzania wote kwa Kifo cha Hayati Magufuli.

Kama kichwa cha habari nichukue nafasi kuwashukuru sana Viongozi wa CHADEMA kwa Jinsi Walivyosimama imara dhidi ya Utawala Usio wa Kidemokrasia wa Hayati ambaye alikuwa na dhamira ya Dhati kutoka Moyoni ya kuhakikisha CHADEMA inakufa Lakini Ameshindwa.

CHADEMA imepata misukosuko mingi sana kuliko Chama chochote cha Upinzani katika Utawala wa Magufuli na Watanzania ni Mashahidi ikiwemo ya Vifo, Kufungwa, kutekwa, kusingiziwa kesi Kupigwa risasi kupotea kwa Wanachama na Wafuasi wake kulipishwa mafaini ya ajabu, kupokonywa Ubunge udiwani Umeya n.k vyote hivyo kwa Uonevu.

Wakati yanatokea na kutendeka Kuna Viongozi Wabunge Madiwani na Wanachama wa CHADEMA walionunuliwa au kuhaidiwa na kupewa Vyeo na wakaondoka na wakaikimbia CHADEMA na Kuisaliti.

Kama haitoshi kuna Kundi la Watu 19 limediriki mpaka Kugushi saini ya Katibu Mkuu ili liweze kuteuliwa Ubunge Viti Maalum na CHADEMA kimewafukuza Uanachama lakini Hayati aliendelewa kuwalinda Bungeni huo nao ni Usaliti ndio maana nampongeza Hayati kwani Watanzania hasa CHADEMA wasingejua kule ndani ya CHADEMA kuna Wasaliti ambao iliwaamini na kuwapa Madaraka na Heshima kubwa.Wasaliti hao wapo waliofanikiwa kupata walichoahidiwa na wapo waliokosa baada ya Magufuli kufa.
Binafsi ROHO yangu huwa inauma Sana nimuonapo Mdee, KWA kweli Kama chama hata wakifukuzwa bungeni Halima Mdee ,tumkumbatie, na kumrejesha kundini wengine tupa kule, Mdee wenda alilogwa sio yeye, Chadema hata Kama hatakua na nafasi YOYOTE but tumpokee,naumia Sana juu ya huyu mamy
 
Kwanza nitoe pole kwa Familia ndugu na Watanzania wote kwa Kifo cha Hayati Magufuli.

Kama kichwa cha habari nichukue nafasi kuwashukuru sana Viongozi wa CHADEMA kwa Jinsi Walivyosimama imara dhidi ya Utawala Usio wa Kidemokrasia wa Hayati ambaye alikuwa na dhamira ya Dhati kutoka Moyoni ya kuhakikisha CHADEMA inakufa Lakini Ameshindwa.

CHADEMA imepata misukosuko mingi sana kuliko Chama chochote cha Upinzani katika Utawala wa Magufuli na Watanzania ni Mashahidi ikiwemo ya Vifo, Kufungwa, kutekwa, kusingiziwa kesi Kupigwa risasi kupotea kwa Wanachama na Wafuasi wake kulipishwa mafaini ya ajabu, kupokonywa Ubunge udiwani Umeya n.k vyote hivyo kwa Uonevu.

Wakati yanatokea na kutendeka Kuna Viongozi Wabunge Madiwani na Wanachama wa CHADEMA walionunuliwa au kuhaidiwa na kupewa Vyeo na wakaondoka na wakaikimbia CHADEMA na Kuisaliti.

Kama haitoshi kuna Kundi la Watu 19 limediriki mpaka Kugushi saini ya Katibu Mkuu ili liweze kuteuliwa Ubunge Viti Maalum na CHADEMA kimewafukuza Uanachama lakini Hayati aliendelewa kuwalinda Bungeni huo nao ni Usaliti ndio maana nampongeza Hayati kwani Watanzania hasa CHADEMA wasingejua kule ndani ya CHADEMA kuna Wasaliti ambao iliwaamini na kuwapa Madaraka na Heshima kubwa.Wasaliti hao wapo waliofanikiwa kupata walichoahidiwa na wapo waliokosa baada ya Magufuli kufa.
Yule nyoka wa zamani ibilisi shetani alitupwa kuzimu tar 17 machi ametunyosha kweli kweli. Lakini Mwanakondoo ameshinda
 
Au Labda Wewe ndo uweke ushahidi wa utaratibu kufuatwa hapa! Kwa sababu ushahidi wa utaratibu kukiukwa ulisha ainishwa na kamati kuu ya chama, kupitia katibu mkuu wa chama! Utaahira utakua kukuamini Wewe badala ya Mnyika!

Unaongea vitu ambavyo huvijui
 
Nadhani hakuna tofauti hapo. Ni jinsi tu ya mtazamo. Ilivyozoeleka akifa mtu maarufu/kiongozi, watu hupenda kumuita Hayati. Lakini kwa wale wa kawaida kama mimi na wewe huitwa Marehemu. Ndiyo tofauti ninayoijua mimi

KWA KIFUPI SANA LAKINI

Hayati ni neno la kiarabu likimaanisha uhai, kwa hiyo mtu aliyekufa na kuacha Legacy yaani bado kuna vitu alifanya kwa manufaa ya jamii au dunia na bado vinaishi huyu ndiye huitwa hayati kwa maana kafa lakini bado anaishi kutokana na legacy aliyoiacha wala siyo lazima kuwa maarufu au tajiri.

hata Masikini anaweza kuacha Legacy, kwa mfano anaweza kusema ana eneo lake ligeuzwe kujengwa shule au hospitali au kisima au msikiti au kanisa na ikafanyika hivyo huyu ni hayati maana kaacha legacy kile alichokuwa akimiliki pamoja na umasikini wake bado kinaishi na kinainufaisha jamii aliyoiacha.

Mwingine anaweza kufundisha ujuzi vijana na wale vijana wakanufaika na ule ujuzi na ukanufaisha jamii, kwa hiyo elimu yake aliyoitoa bado inaishi na inainufaisha jamii huyu naye ni hayati.

Lakini ukifa na kashfa kibao za ufisadi wa mali, ufisadi wa mapenzi au dhulma au uchawi yaani kifo chako kikaleta nafuu kwa jamii, basi wewe ni marehemu tu huwezi kupewa heshma ya kuitwa hayati.

Kwa hiyo kila mtu ajitathmini kama yeye akifa ataitwa Hayati au Marehemu?

Source: Tofauti kati ya Hayati na Marehemu hii hapa.
OK, Kwa mantiki hiyo; inamaana mtu huyo hiyo mmoja anaweza kuwa hayati na marehemu kwa namna alivyowatendea binadamu wenzake wakati wa UHAI wake?
 
... Ndio maana yake. Hayati kwako sio hayati kwa mwingine.
 
Kuna wasaliti wa chama na wasaliti wa wapenzi/mashabiki wa chama, suala kama la kubadili gear angani ilikuwa ni usaliti kwa wapenzi wa chama.
 
Wewe unajua katiba ya nchi kuliko Msekwa? Hebu acha kuonyesha ujuha wako hadharani!
Kwani kura zao nyingi za ubunge walipata wakiwa ccm? Acha ushabiki maandazi

Nyie mlisusa sasa makelele ya nn?

Nyie hamtambui serikali sasa mbona kila siku ni watu wa matamko?
 
1. Demokrasia haikufinywa watu walichukua fomu na waliangushwa wazi akiwamo Mwambe!!

2. Mwenyekiti amekopesha chama lini? CAG mbona hajaona malipo ya madeni hewa? Au unajua sana auditing kuliko NAO?

3. Mapato na matumizi yanahojiwa sana kamati kuu but hivyo ni vikao vya internal vya kufanya self evaluation.

4. Chama kina oparesheni nyingi sana kuanzia CHADEMA ni msingi mpaka kuimarisha majimbo huko ni bajeti kubwa ilitumika maana mikutano haikuwepo so ilihitaji nguvu kubwa kutumika kutanua chama. TAKUKURU walifanya forensic auditing na kugundua ruzuku hazikuibiwa hata kidogo ndio manaa kesi ikafutwa otherwise Mbowe angekua mahakamani.

5. Katiba ilikua mpya ilizangatia maoni mapya..... Ni sawa na Rasimu ya warioba utasema imefuta katiba ua 1977?? Yale hayakuwa amendments bali ni mchakato mpya so maoni mapya yote kuanzia mfumo wa kanda so haikufuta kitu bali ilileta nyaraka mpya kabisa kwenye kila kitu.

6. Mengineyo ni kwamba umejazwa propaganda bila facts kama Mbowe angekua mchafu hivyo unavyodhani CHADEMA kisingefika hapa kilipo.
Jomba umejitahidi kujibu lakini unagusagusa juu tuu..hayo yote niliyosema sio kutoka kwangu Ni kutoka kwa haohao wabunge mliokuwa nao...sasa unao ubavu wa kushindana nao kwa hoja...unadhan wametunga wooote hao..tatizo lenu uozo mnapenda kuuficha mtaumbuka jomba..mficha uchi hazai kamwe..kubali matatizo ili iwe rahisi kutafuta solution. Mwenyekiti hawez kuua chama kwa sababu Ni Cha mkwe...yeye anaendesha tu si Mali yake...
 
Back
Top Bottom