Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 15,314
- 24,177
Halafu JPM akawafumba macho watanzania na kushindwa kueleza tshs 1.5tril imeenda wapi, alipoulizwa na CAG.Hata kama kuna ufisadi unataka au unaweza kufanyika watanzania sasa wapo macho na wanaweza kushutuka. Maana kabla ya hayati JPM kuchukua kijiti cha kuliongoza taifa la Tanzania huko nyuma watu walikuwa wanajikwapulia pesa za umma kama wanatafuta Big G.
Kila mtanzania amepata jibu kuwa pesa nyingi ambayo ilikuwa ni mali ya umma ilikuwa ikitafumya hovyo.
Kama ndani ya miaka mitano ya hayati JPM tunashuhudia kazi mefanyika, kuimalika miundo mbinu, afya na Elimu huku kila mtu akishuhudia, ni wazi kuwa taifa letu lina pesa nyingi sana na zikisimamiwa vyema tunapata maendeleo makubwa.