Man Mvua
JF-Expert Member
- Apr 12, 2016
- 2,184
- 3,517
Tatizo ni sisi watanzania wenyewe kwa kuendekeza njaa ,, tamaa na ubinafsi.Matatizo ya tz hayataondoka kwa kubadili Katiba,na hayakuletwa na katiba
Tatizo ni sisi watanzania wenyewe kwa kuendekeza njaa ,, tamaa na ubinafsi.Matatizo ya tz hayataondoka kwa kubadili Katiba,na hayakuletwa na katiba
Tatizo ni sisi watanzania wenyewe kwa kuendekeza njaa ,, tamaa na ubinafsi.
Ndo ujue kuna watu wanaamini katiba itawaletea ma note mfukoni kila kitu katibu hata akiachwa na mumewe atasingizia katibaMatatizo ya tz hayataondoka kwa kubadili Katiba,na hayakuletwa na katiba
Ukweli = ukweli!!!!Na ni chadema ndio wametuchelewesha sana na huo ndio ukweriii!!
Mkuu hata hii cord umeshindwa ijua kbs 🤣🤣🤣🤣 au hujui huu msemo ni wa akina nanUmeamua kujitoa ufahamu
Magufuli alisema ujenzi umefanyika Coco Beach ambao unafanya iwe vigumu kulimalizia lile daraja. Anasema Mkuu wa Mkoa (Makonda) alikuwa wapi wakati haya makosa yanatendeka? Au Mkuu wa Wilaya, kwanini hakuzuia? (Sijui Mkuu wa Wilaya alikuwa nani)
Ndio pale anasema anataka watu waliofungwa waachwe huru,akina Rugemalira,ambao hata hivyo hawakuachiwa.
Kwa Katiba ya Uingereza Liz Devi angesema anataka mahabusu waachiwe huru,wangeachiwa huru baada ya was 24. Kwa sababu msingi wa Katiba ya Uingereza ni kwamba the King can do no wrong.
Lakini hapa watu hawataki kufuata amri za dikteta uchwala.
Unaona, hiyo video nimeiweka hapo,sijui kama itaonekana, lakini Magufuli amesikitika sana hapo mpaka inakufanya ufikirie kwamba labda mwili unahitaji kufukuliwa kujua kitu gani kilimuua.
Dola imejipa jukumu la kubeba mustakabali wa nchiunamaana dora inamasrahi binafsi na ccm
Dola imejipa jukumu la kubeba mustakabali wa nchi
Ccm ni chombo Cha kuhalalisha utaratibu wa uchaguzi na kushika hatamu,ndomana yule alitaka mgombea mwenza yule lakini dola ikaamua inavyotaka yenyeweunawezaje kuitenganisha dola na serikali ya ccm
Ccm ni chombo Cha kuhalalisha utaratibu wa uchaguzi na kushika hatamu,ndomana yule alitaka mgombea mwenza yule lakini dola ikaamua inavyotaka yenyewe