Na maovu yamezidi sana ukiingia huko Instagram utaona jinsi dada zetu wanachofanya ingia telegram laana tupu mashoga wameamua kujionesha wazi bila kificho ni halali kabisa mvua kushindwa kunyesha
Ukisoma kitabu Cha mfalme suleimani mithali inaonesha wazi watu wanaofanya maovu watu wasiotaka kusikiliza maonyo hunyimwa ufahamu na maarifa

Mithali 15:32-33
 
Kwa taarifa yako njaa hakuna, chakula kipo cha kutosha €ni ukame tu unaotusumbua ambao whether Magufuli angekuepo hana ambacho angefanya.

Tusilazimishe utukufu wa Magufuli just accept kua ametangulia and move on na maisha yako.
 
Kwa taarifa yako njaa hakuna chakula kipo ni ukame tu unaotusumbua ambao whether Magufuli angekuepo hana ambacho angefanya.

Tusilazimishe utukufu wa Magufuli just accept kua ametangulia and move on na maisha yako.
Maisha yaendelee.....
 
Na maovu yamezidi sana ukiingia huko Instagram utaona jinsi dada zetu wanachofanya ingia telegram laana tupu mashoga wameamua kujionesha wazi bila kificho ni halali kabisa mvua kushindwa kunyesha
Ukisoma kitabu Cha mfalme suleimani mithali inaonesha wazi watu wanaofanya maovu watu wasiotaka kusikiliza maonyo hunyimwa ufahamu na maarifa

Mithali 15:32-33
We bhana wee!!

Hapa hakuna cha Jeremiah, Mathayo wala Abu Bakr

It's science, and nothing more...

Ingekuwa picha za nusu uchi zinazokuwa posted Instagram ndo zinaleta yote haya, vipi Ubeberuni ambako hizo za nusu utupu utakuta zinatembea mitaani tani mchana kweuuuupe!!

Hivi sasa huko si ingekuwa majangwa tupu...
 
Kwani mashehe na wachungaji wamekufa pia? Maombi lazima yatangazwe? Watu kabla walikuwa hawaswali na kusali? Kumbuka yanayotokea ya tabia Nchi hata angekuwepo hai yangetokea, hizo ni hisia zako tu za kuhusianisha, hata aliye kuwepo anaswali na umuomba Mungu, uwa umsikii?
 
Ameshakufa na hawezi kurudi

Magufuli sio Mungu

Kwa hiyo Tangu afe, Watu hawaombi tena? Acha ufala

Kabla hajawa Rais, watu walikuwa hawaombi Mungu?
Chuki zitakuua mpumuliwa kisogoni, binadamu hafi, anafariki...hutoishi milele.
 
Magufuli alikuwa Mtu wa Mungu. Kila Jumapili tulimuoma kwenye Ibada na Inchi ilikuwa na Baraka.
Na ndio Sababu ya kuishinda Corona.
 
Acha kudanganya mvua imekiwa vizuri zaid kwa Tanzania. Na hata majuzi hapa ndo ikatangazwa kuwa nchi yetu ni miongoni mwa nchi ambazo zina food security Africa
Angalia Miaka mitano iliyopita Hali ya hewa Afrika ya Mashariki yote Mvua zilinyesha vizuri.

Kwahiyo mtazamo wako wa Kishamba ina maana Uhuru,Mseveni,Kagame nao ni Watakatifu kama huyo Chizi wako?
 
Chuki zitakuua mpumuliwa kisogoni, binadamu hafi, anafariki...hutoishi milele.
Yeye ndio alianza chuki kwa Kikwete, na kuleta ubaguzi

Hata Mkapa alipomkemea, akaleta kiburi

Mbaguzi wa kikabila na kikanda

Kila binadamu atakufa, ila yule binadamu anaegusa maisha ya wenzake..kifo kwake ni tofauti
 
Back
Top Bottom