Ndio lipo neno katika biblia lisemalo mwenye haki akitawala nchi hufurahi!ila sidhani kama tumefika huko mama samia wa watu amejikuta ni rais by default je leo Mungu huyu mwenye upendo aanze kumwadhibu kwasababu ipi.
Ahukumuye atahukumiwa
 
Kwahiyo huyu mama yenu anafurahia wamama wanavyohangaika na madumu na ndoo mtaani?

Kwamba anafurahia watu wanavyozurura na ndoo saa 8 usiku wakisaka maji?

Huyu mama yenu vipi aisee???Ni week ya nne sijayaona maji kwangu halafu yeye yupo anacheka cheka tu kusifia six park za vijana

Shame on her
 
Alisema ajenda yake ni kumtua mama ndoo kwa Dar imekuwa kumtwisha ndoo huku akinunua MRI wakati watu wanaugua magonjwa ya uchafu kwa kukosa maji Safi
 
Kwahiyo huyu mama yenu anafurahia wamama wanavyohangaika na madumu na ndoo mtaani?

Kwamba anafurahia watu wanavyozurura na ndoo saa 8 usiku wakisaka maji?

Huyu mama yenu vipi aisee???Ni week ya nne sijayaona maji kwangu halafu yeye yupo anacheka cheka tu kusifia six park za vijana

Shame on her
hivi unaakili timamu kweli mpaka unauliza swali kama hilo? huyu mama ndiyo analeta mvua au ndiyo kaizuia isinyeshe kuweni na adabu
 
Mkiguswa mna maneno kwelikweli.
Miaka mitano hakukuwa na ng'ombe walioouwa wanamunywa maji Lita 40?
Tuimbe wacha waisome namba CCM mbele kwa mbele ×50 imba
 
Haya mambo huwa yapo, mtawala mwingine hutokea nchi ikawa na shibe ya kutosha kwa wananchi, mwingine ni shidashida tu kwa raia hadi aondoke madarakani. Cha kufanya ni kiongozi wa juu yeye mwenyewe kujiombea kwa Mungu na kujipatanisha ili aongoze kwa hekima raia zake wasipatwe na magumu
 
Naona hii inaweza kutupeleka kwenye RICHMOND nyingine. Sielewi kwanini Watanzania tunafanya kazi Kwa kusoma upepo wa watawala na si uzalendo dhidi Taifa letu.
 
Tulikuwa na Rais wa ajabu sana. Lakini tumejidunza kitu na naamini walio mpinga Magu Dr. Emmanuel Nchimbi, Sofia Simba walikuwa sahihi sana siku ile Dodoma na kama walimjua vizuri Magufuri ni mtu asiye stahili na kutokuwa na sifa ya kupewa nchi. Hivyo kudharau mawazo ya akina Nchimbi ndio yakaja kudhihirika baada ya kupewa urais, akaanza kutisha watu,kutisha viongozi wenzake, wanaccm wenzake
 
Back
Top Bottom