Hayati Magufuli alipewaje Shahada ya Udaktari wakati alikuwa Msahaulifu na Muongo?

Magu hatunaye lakini kila siku yupo midomoni mwa watu duu!
 
Salaam Wakuu,

Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.

Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili zake na mashabiki wake zilivyo.

Huku anasema maendeleo hayana chama, kule anasema maendeleo yana chama. Yaani dakika 2 zilikiwa zinamtosha kusahau alichokosema.

Ukabila ulimjaa. Alikuwa anahutubia na kutoa vitisho kwa kilugha.

View attachment 2432156
View attachment 2432157
View attachment 2432158
View attachment 2432186
Hivi figganigga una shida gani na marehemu? Kama hujafunzwa kifamilia hata dini yako haikupi staha kwa mtu aliyekwisha fika kwenye hukumu ya muumba?

Mnaanzisha thread za matusi kwake zisizo na mashiko zaidi ya kumdhalilisha mtu asiyeweza kujitetea. Jadilini kushindwa kwa sera zake n.k acheni matusi ambayo kama hayawaumi basi heshimu hata familia yake!
 
Huku anasema maendeleo hayana chama, kule anasema maendeleo yana chama. Yaani dakika 2 zilikiwa zinamtosha kusahau alichokosema.🤣🤣🤣

Dunia ni ya ajabu sana.
Kuna maprofesa wenye heshima walikula njama kumpa " msukuma" mwenzao PhD ya mchongo.
Nafahamu aliye adhibiwa kwa kuugua covid na kufariki.
 
Salaam Wakuu,

Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.

Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili zake na mashabiki wake zilivyo.

Huku anasema maendeleo hayana chama, kule anasema maendeleo yana chama. Yaani dakika 2 zilikiwa zinamtosha kusahau alichokosema.

Ukabila ulimjaa. Alikuwa anahutubia na kutoa vitisho kwa kilugha.

View attachment 2432156
View attachment 2432157
View attachment 2432158
View attachment 2432186
Kamata waliomsimamia hiyo PhD Pale mlimani , Bashiru na Kabudi mashahidi muhimu
 
Hizo clip mbili za mwsho daa Bora alikwenda tu
Salaam Wakuu,

Hayati Magufuli Rais wa Tanzania ambaye alifariki 2021, nilishangaa kuona alipewa eti Shahada ya Udaktari wakati alikuwa msahaulifu na muongo.

Ukitaka kujua akili za Magufuli au Tanzania ilikuwa na Rais wa aina gani, sikiliza hizi hotuba fupi tatu, hii itakusaidia kujua akili zake na mashabiki wake zilivyo.

Huku anasema maendeleo hayana chama, kule anasema maendeleo yana chama. Yaani dakika 2 zilikiwa zinamtosha kusahau alichokosema.🤣🤣🤣

Ukabila ulimjaa. Alikuwa anahutubia na kutoa vitisho kwa kilugha.

View attachment 2432156
View attachment 2432157
View attachment 2432158
View attachment 2432186
 
Hivi figganigga una shida gani na marehemu? Kama hujafunzwa kifamilia hata dini yako haikupi staha kwa mtu aliyekwisha fika kwenye hukumu ya muumba?

Mnaanzisha thread za matusi kwake zisizo na mashiko zaidi ya kumdhalilisha mtu asiyeweza kujitetea. Jadilini kushindwa kwa sera zake n.k acheni matusi ambayo kama hayawaumi basi heshimu hata familia yake!
Mishe zao mitaani zikibumba wanaingia mtandaoni kujifariji kwa kumtusi hayati JPM.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom