Hayati Magufuli alikuwa mtawala na siyo kiongozi

Nasikia nawe unachangisha michango ya mawakili!
Kwani leo hukuwepo lindoni?
FB_IMG_1555773311437.jpg
 
Hayati dkt Magufuli aliamini kuwa yeye ana akili kuliko watanzania wote na ndio maana hata alipodanganywa kwa sifa za uongo Kama sio kumkebehi kuwa anajua idadi ya samaki wote kwenye mito, ziwani, na baharini alibaki kukenua kwa kicheko.

Mtawala anapenda sifa usipo msifu una geuka kuwa adui wake mkubwa. Mtawala ana amini katika mabavu hataki mijadala katika kufikia maamuzi. Mtawala ana amini kuwa dawa pekee ya kubaki katika maamuzi yake ya kibabe ni kuwaondoa wote wenye mawazo kinzani na yake, Kama sio kwa kuwafunga jela, Basi ni kwa mauwaji.

Awamu ya tano ndio awamu iliongoza kwa kuwapoteza watanzania wengi walio kuwa na mawazo tofauti na ya mtawala.

Mtawala hata akikaa uchi usimwambie na ukthubutu atakwambia kwanini una mchunguza chunguza wakati nguo aliyovaa inampendeza, ataamuru ukamatwe.

Kuna wakati mbunge mmoja na mbobezi katika siasa za nchi hii, alizungumzia kuwa kitendo Cha Paulo kuvamia ofisi za Cloud media tena kwa mtutu wa bunduki si sawa aliambulia kufukuzwa uwaziri.

Huyo huyo mbunge alipotoa ushauri kuhusu nchi kuwa na miradi mikubwa sio kosa isipokuwa Basi iwekewe kipaumbele yaani ichukuliwe michache michache ili kulinda uchumi wa nchi, alitishiwa hata kufukuzwa ndani ya chama.

Kwa ujumla kiongozi ni yule anaye amini katika kushirikiana katika maamuzi ya pamoja. Na Kama awamu ya tano ingefanikiwa kukaa miaka yote kumi hakika ni kwamba vazi rasmi la Taifa lingekuwa ni kaniki.
 
Kama tuna kumbukumb za kina farao, herode, hitle, amin na mambo yote walioyafanya ulimwenguni na Tanzania. Hatuwez kusahau kumbukumb za mambo alifanya JPM. Kusema kwamba asisemwe kwa kigezo kua ameshakufa ni utoto kabisa. Mtu aliefanya mambo mabaya zaid na aliefanya mazur zaid wote watakumbukwa hata wakishakufa. Historia haifutiki hata isipoandikwa.
 
Wewe tunakuona humu! Unajua unapokaa unamzungumzia Maguguli inamaanisha alikushika pabaya na mataahira wenzako! Ndo maana kashakufa bado unamzungumzia hapa! Leta basi hata maada za mama.

Samia au maendeleo unazungumzia mtu ambaye hayupo na wala hatakuwepo tena! Ndo maana unaomekana mpumbavu usiyejitambua!
Lazima muuaji azunhumziwe, muuaji, ibilisi shetani Jiwe
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom