Hayati Magufuli alijitoa Sadaka ili kuwainua Wananchi wa hali ya chini Tanzania. Je, Mbowe amejitoa Sadaka kwa ajili ya Katiba Mpya?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,798
141,696
Kama ambavyo makamanda wa Chadema wanavyojinasibu kwamba Mbowe yuko jela kwa sababu alikuwa mstari wa mbele kuipigania Katiba mpya.

Ndio nawauliza Chadema, Freeman Mbowe yuko tayari kujitoa sadaka kwa ajili ya Katiba mpya?

Sisi tuliotembea vifua mbele chini ya Jemedari Magufuli tunaamimi kabisa shujaa wetu alitupambania hadi dakika ya mwisho alipotwaliwa.

UKAWA wako wapi jamani? Katiba mpya siyo lelemama

Maendeleo hayana vyama!
 
Serikali wanatumia Polisi , wewe unatumia Mdomo.

Watu mna wivu. Yani bado mnajiuliza maswali hampati majibu.
 
JPM alikuwa chuma.
Kuna siku alidai gharama ya uzalendo ni kifo!

Mbowe nae naona yuko vizuri, ila sidhani kama anaweza kubali kufa.

Lisu kila siku anakumbusha risasi alizopigwa wakati akitetea mabeberu while Magufuli aliwahi kunyweshwa/kulishwa sumu kisa kuwatumikia Watanzania na wala hakuwa kelele kuhusu hilo.
Kama ambavyo makamanda wa Chadema wanavyojinasibu kwamba Mbowe yuko jela kwa sababu alikuwa mstari wa mbele kuipigania Katiba mpya.

Ndio nawauliza Chadema, Freeman Mbowe yuko tayari kujitoa sadaka kwa ajili ya Katiba mpya?

Sisi tuliotembea vifua mbele chini ya Jemedari Magufuli tunaamimi kabisa shujaa wetu alitupambania hadi dakika ya mwisho alipotwaliwa.

UKAWA wako wapi jamani? Katiba mpya siyo lelemama

Maendeleo hayana vyama!
 
JPM alikuwa chuma.
Kuna siku alidai gharama ya uzalendo ni kifo!

Mbowe nae naona yuko vizuri, ila sidhani kama anaweza kubali kufa.

Lisu kila siku anakumbusha risasi alizopigwa wakati akitetea mabeberu while aliwahi kunyweshwa/kulishwa sumu kisa kuwatumikia Watanzania na wala hakuwa kelele kuhusu hilo.
Mbowe Noma sana
 
Pumbavu kabisa, magufuli yupi aliyejitoa kwa wanyonge??
 
Kama ambavyo makamanda wa Chadema wanavyojinasibu kwamba Mbowe yuko jela kwa sababu alikuwa mstari wa mbele kuipigania Katiba mpya.

Ndio nawauliza Chadema, Freeman Mbowe yuko tayari kujitoa sadaka kwa ajili ya Katiba mpya?

Sisi tuliotembea vifua mbele chini ya Jemedari Magufuli tunaamimi kabisa shujaa wetu alitupambania hadi dakika ya mwisho alipotwaliwa.

UKAWA wako wapi jamani? Katiba mpya siyo lelemama

Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo maana kagoma kuomba msahama wa kijinga ili awe huru, Mbowe ndiyo mtu pekee anayeaminika kwa Tanzania
 
Kama ambavyo makamanda wa Chadema wanavyojinasibu kwamba Mbowe yuko jela kwa sababu alikuwa mstari wa mbele kuipigania Katiba mpya.

Ndio nawauliza Chadema, Freeman Mbowe yuko tayari kujitoa sadaka kwa ajili ya Katiba mpya?

Sisi tuliotembea vifua mbele chini ya Jemedari Magufuli tunaamimi kabisa shujaa wetu alitupambania hadi dakika ya mwisho alipotwaliwa.

UKAWA wako wapi jamani? Katiba mpya siyo lelemama

Maendeleo hayana vyama!
Aliinua masikini gani huyo 'jemeradi' wako wakati kilakona watu walilia vyuma vimekaza?mpaka akatisha wanaosema hivyo!!!
 
Back
Top Bottom